Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaenda Dom unasimama Moro kidogo...kama unaenda Arusha unasimama Korogwe kidogo unawacheki uliowakata njiani wakipita halafu unaanza kutafuta mmoja mmoja! Ukiwa na gari ina mwendo raha sanaNtajaribu kesho kutwa.
Ntakuwa nasimama kila baada ya km 300.
Marafiki zangu wengi wanagombana na wake zao kisa magari. Magari yanakula hela acheni tu. Sasa mwanamke mwenye akili hakubali hii kitu. Na akina sisi tunapenda magari hatukubali kuiacha ilale unatoa tu hela.Hahah mke mkubwa akaona nafasi yake imeingia kidudu ndinga.... akaleta makarate chuma iondolewe atawale mwenyewe
Hii sio Dom - Iringa via Mtera?Watembezi mwapasoma hapa? Nice view, sema wapi hapa [emoji4][emoji4]View attachment 1698322
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Sahihi Kaka, ukiwa watokea Dom unadondoka kuiapproach Mtera sasa, ile view huwa ni kali sanaHii sio Dom - Iringa via Mtera?
Let me enjoy the independence while it lastsMarafiki zangu wengi wanagombana na wake zao kisa magari. Magari yanakula hela acheni tu. Sasa mwanamke mwenye akili hakubali hii kitu. Na akina sisi tunapenda magari hatukubali kuiacha ilale unatoa tu hela.
Kujustify to her service ya 1M+ kwa gari tena ambayo ni nzima inatembea ni changamoto [emoji23][emoji23] huku we unajua chuma inataka hyo hela ili uifaidiUkioa maamuzi ni ya wawili sio peke yako tena.
Ukitaka amani hizi unapiga kimya kimya. Yeye anaona linatembea tu ila kila likizingua wewe unalalamika lazima aanze kukwambia uliuze ununua kitu simple tuKujustify to her service ya 1M+ kwa gari tena ambayo ni nzima inatembea ni changamoto [emoji23][emoji23] huku we unajua chuma inataka hyo hela ili uifaidi
Na hii point ni ya msingi sana 👏 👏Ukioa maamuzi ni ya wawili sio peke yako tena.
Hii ndio Overtake inayotakiwa kwa gari zaidi ya 3 mpaka 7 au zaidi za aina tofauti km malori na ndogo.Kuna muda unalazimika kupangua mmoja mmoja huku unaendelea kupunguza umbali maana hapo pa kuwapangua 5 na zaidi kwa pamoja itabidi usubiri umbali mrefu sana at times
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
kwa Chalinze - Moro nakubali km una mashine nzuri dk 75 hazifikiMuda ambao njia nyeupe sio mida yenu ambako magari yamejazana barabarani! Chalinze moro hizo dakika hazifiki nikikalia mashine bila wasiwasi wa gauge kuisha.
nipo tutani nasubiri majibu yenuUkikanyagia engine haiongezi revs
Kwa Dodoma Kondoa Babati hii barabara ni salama sana hasa kwa usiku ni masaa ma5 tu Dodoma MoshiLaiti barabaraba zote nchi hii zingekua na hali kama ya mkeka wa Tunduru - Songea, ama Dom - Kondoa - Babati - Arsh, Ama Igawa - Mafinga, safari zingekua starehe kwa wote dereva na abiria. Ila udereva wetu ni mahangaiko kweli kweli na iliqa ni usiku ndio mbaya zaidi, pot holes zisizotarajiwa, sharp humps daah
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Engine mzunguko wake umepimwa kuendana na gear ratios! So hakuna jinsi utaharibu engine kwa sababu ya speed unless speed sensor ziwe mbovu maana ECU itashindwa kumatch mzunguko wa engine na gear na pia gari lazma itakuonesha taa ya check engine ukizidi speed ya gear namba 3 japo speedometer nayo itakuwa haisomi/haitembei.kwa Chalinze - Moro nakubali km una mashine nzuri dk 75 hazifiki
kuna vibonde na miinuko hasa kule pori toka Mdaula mpaka Mikese pale hata 140-180km/h unakanyaga.
Hapa tusaidiane mafundi, dereva anaposema kakanyaka mafuta hadi speed 180km/h ikasikia injini inazima au kuburst ukweli unatokea wapi?
Mimi niliunguza alternator nikajua ni speed niliyotumia kwani nilikimbia zaidi ya saa nzima nikiwa 120 -140km/h
nilipoenda dukani nikamwambie aniuzia Alternatoe ingine kwani speed niliyotumia sio mchezo, yeye akanicheka akaniambia mzunguko wa injini upo palepale na belt zake ni hii ni kutokona na RPM kinachokimbiza gari ni gearbox na hasa Top gear
unaweza kukuta upo speed 200km/h na RPM ipo 7 na ndio mzunguko wa alternator
ina uunaweza kuwa speed ya 40 km/h RPM 10 (nina maana ya juu kabisa)
nipo tutani nasubiri majibu yenu
Juzi alfajiri kijana akitokea Club anakowahi hata sipajui kigizagiza kayumba na kaja kunivaa upande wa site yangu na kunigoganga side ya kushoto, anatoka ndani ya gari ananiomba msamaha eti aliona anatoka nje ya barabara angepinduka akaona bora arudi barabarani ndio mm nikawa breki yake.Vijana bangi na pombe nyingi sana
Pole sana. Yaani unaweza kufuata sheria zote akatokea mtu kama huyo akakuvaa. Mbaya zaidi ukifa utaangushiwa lawama zote wewe.Juzi alfajiri kijana akitokea Club anakowahi hata sipajui kigizagiza kayumba na kaja kunivaa upande wa site yangu na kunigoganga side ya kushoto, anatoka ndani ya gari ananiomba msamaha eti aliona anatoka nje ya barabara angepinduka akaona bora arudi barabarani ndio mm nikawa breki yake.
Kupeleleza ni Marioo na gari ni ya mwanamke, yeye alichomoka kwenda kulewa, Tukajadiliana na Traffic ikaamuliwa akalitengeneze na mm nizuie hilo lake (la mwanamke wake) mpaka langu lipone.
Ni kweli barabarani ni Mungu tu anasaidia, unaweza fuata Sheria zote bado mlevi akakufuata akijua mnapishana kumbe anakuua
iPole sana. Yaani unaweza kufuata sheria zote akatokea mtu kama huyo akakuvaa. Mbaya zaidi ukifa utaangushiwa lawama zote wewe.
Ikifika limit engine inakata. Yaani unakanyaga hamna response. Kama hujui unaweza kudhani engine ime-cease. Haizimiki, ikifika limit mguu uko kwenye bati lakini husikii kitu. Tafuta gari yenye limit 180kph endesha mpaka mwisho then endelea kukanyaga utaelewa tunamaanisha nini.kwa Chalinze - Moro nakubali km una mashine nzuri dk 75 hazifiki
kuna vibonde na miinuko hasa kule pori toka Mdaula mpaka Mikese pale hata 140-180km/h unakanyaga.
Hapa tusaidiane mafundi, dereva anaposema kakanyaka mafuta hadi speed 180km/h ikasikia injini inazima au kuburst ukweli unatokea wapi?
Mimi niliunguza alternator nikajua ni speed niliyotumia kwani nilikimbia zaidi ya saa nzima nikiwa 120 -140km/h
nilipoenda dukani nikamwambie aniuzia Alternatoe ingine kwani speed niliyotumia sio mchezo, yeye akanicheka akaniambia mzunguko wa injini upo palepale na belt zake ni hii ni kutokona na RPM kinachokimbiza gari ni gearbox na hasa Top gear
unaweza kukuta upo speed 200km/h na RPM ipo 7 na ndio mzunguko wa alternator
ina uunaweza kuwa speed ya 40 km/h RPM 10 (nina maana ya juu kabisa)
nipo tutani nasubiri majibu yenu
Sasa huyu nae anaovateki vipi lori kwenye Kona?Hii ndio Overtake inayotakiwa kwa gari zaidi ya 3 mpaka 7 au zaidi za aina tofauti km malori na ndogo.
Unaweza vta mafuta ili kuunganisha ukashtuka mwenzako wa 3 mbele huko naye anachomoka na uwezo hanainabidi ukajifiche kushoto, usubiri tena, ni vizuri kujificha nyuma uki time mmoja mmoja na sio kwenye kona
View attachment 1698881
Sahihi pale chini ukimaliza tu Makutupora unawakuta af na hivi barabara yenyewe haina magari mengi inabidi uwe mpole huku unang'ata meno tu. Otherwise changamoto ya hii njia kwa usiku ni iwapo utapata breakdown yenye kuhitaji support waweza lala njiani as traffic ni ndogo saaanaaa aiseeKwa Dodoma Kondoa Babati hii barabara ni salama sana hasa kwa usiku ni masaa ma5 tu Dodoma Moshi
ilakwa mchana tochi zimeongezeka yaani ukitoka Dom tu Kambi ya JKT wameweka tochi iliyokuwa Mzakwe halafu kwenye geti la kutokea Mtungutu njia panda ya Itiso, ipo nyingine Kidoka baada ya hapo hakuna mpaka Babati ukikanyaga vizuri masaa 6 Arusha ila km Moshi inabidi uchepuke usiingie Mjini bado kuna li saa moja na nusu