Ngoja niijaribu hapa mjini kwanza.I
Ukibonyeza ikiwaka maana ipo OFF! Ikizima maana iko ON!
Ukiweka off unarudi gear ya 3 gari inavuma ila inapika torque zaidi ukirudisha ON inachanganya kama Jetfighter inachanganya haraka sana kama ni kuovertake inakuwa kwa wepesi sana umemkata mtu.
Kama sio kuongeza mafuta njiani, naweza piga hata Tunduma kila kusimama.Kwahio Mzee unapiga Dar to Arusha bila kusimama?!!
Nyama zipi?Unaziachaje zile nyama pale Mkata?!
Gearbox za kisasa haziji na OD buttonDuh hivi kuna modern car ina OD button sasa hivi?!
sio njia ya babati kweli hiiWatembezi mwapasoma hapa? Nice view, sema wapi hapa [emoji4][emoji4]View attachment 1698322
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
And i knw wewe ni muungwana sana.ShukranBasi ntaacha mzee.
Wenzetu wanakimbilia kwenye flying vehicles mkuu,hii ya gari kutembelea ardhini mna wote inaanza kupitwa na wakati 🤣 🤣Duh hivi kuna modern car ina OD button sasa hivi?!
Nw they want flying vehicles mkuu,tunapiga za mid-air tu 🤣 🤣 🙌🙌.Mzungu ni changamoto sanaI
Ukibonyeza ikiwaka maana ipo OFF! Ikizima maana iko ON!
Ukiweka off unarudi gear ya 3 gari inavuma ila inapika torque zaidi ukirudisha ON inachanganya kama Jetfighter inachanganya haraka sana kama ni kuovertake inakuwa kwa wepesi sana umemkata mtu.
1965- In 2021 we'll have flying cars!Nw they want flying vehicles mkuu,tunapiga za mid-air tu 🤣 🤣 🙌🙌.Mzungu ni changamoto sana
Mpo vizuri.Nyama choma
Ntajaribu kesho kutwa.And i knw wewe ni muungwana sana.Shukran
Ushapita pale Melela kuna Wamasai wale huwa wanachoma mbuzi fresh kabisa unaikuta pale, nyama amazing [emoji39][emoji39]Mpo vizuri.
Nikila njiani ni biskuti, soda, au maji.
Hivi vinyama unaweza lishwa mbwa au nyama ya juzi.
Uelekeo wa safari?Ntajaribu kesho kutwa.
Ntakuwa nasimama kila baada ya km 300.