t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Brilliant!! we jamaa engine behaviours unazijua,!!! Kuna kamsemo ka kiufundi "No replacement for displacement "I felt like he was trying to match ila low end power hana kwahiyo nilipotangulia mimi nikianza overtakes anapotea kwenye side mirror. Anakuwa hana uwezo wa kuimatch overtake yangu na kurudi safely coz ya torque
But kuna stretch nilimtanguliza nimfollow from behind, nikamwacha achochee, tukawa tuna cruise at around 175kmph. It just takes him too long to get there. Am not sure if he was incapable or unwilling of doing more.
Mi navyoona road trips za kibongo bongo the car with the bigger engine / higher torque ( low end power) rules kwasababu you spend a lot of time accelerating to safely complete overtakes and its easier with such engines.
Kuna baadhi ya overtake especially when kuna gari inakuja upande wa pili dereva mwenye injini ndogo hawezi kuthubutu ila chuma ya 3000+cc unazipiga bila wasiwasi na unaimaliza mapema tu unaendelea na safari unamwacha mtegemea turbo nyuma anahangaika kusubiri upenyo wa kuovertake.
Most tech kama forced induction come into play at higher revs lakini huku chini displacement rules.
Kuna quick cars na fast cars. You need a quick car to rule road trips on public highways. You need a fast car to rule race tracks.
Challenge kubwa kwa wabongo ni jinsi ya kuendesha engine kubwa na kunegotiate economy ya engine ndogo, hii kitu technically inawezekana kabisa Ila wabongo tumeamua kutojifunza .kwa uoga na hear say,