Hii gari nzuri sana aisee.Nzuri sana hio gari....kama estate fulani.
Barabara ikoje?!
Ya kuingia Pakaya ama Kilwa Masoko? Anyway, ukishafika pale Njia Panda na kuanza kuelekea Kilwa Masoko, barabara ni lami hadi ‘town centre’. Kisha kuelekea Pakaya ni barabara isiyo na lami lakini siyo korofi na inapitika kwa gari lolote lile.Barabara ikoje?!
Perfect.Ya kuingia Pakaya ama Kilwa Masoko? Anyway, ukishafika pale Njia Panda na kuanza kuelekea Kilwa Masoko, barabara ni lami hadi ‘town centre’. Kisha kuelekea Pakaya ni barabara isiyo na lami lakini siyo korofi na inapitika kwa gari lolote lile.
Inawezekana niliona Toyota Aristo Kama sikosei ya Somji ilifanyiwa maping na GTP Kisha ikawekwa dash ya 260 au 300 ni kitambo kidogo.Mtu akianzisha haka ka mchezo ka ku calibrate speed ya gari hasa za kijapani na kufunga Panels zenye speedometer kubwa hata walau za 300kph atatisha sana. Hela lazma zitamfuata kwa wingi.
Katika vitu ambavyo sipendi ni kudrive usiku hasa kwa safari ndefu usiku kuna so many reckless driversKabisa....unaona kilometres kadhaa mbele!
Njia Panda si ndio pale Nangurukuru kwenye round about na mizani eeh?Ya kuingia Pakaya ama Kilwa Masoko? Anyway, ukishafika pale Njia Panda na kuanza kuelekea Kilwa Masoko, barabara ni lami hadi ‘town centre’. Kisha kuelekea Pakaya ni barabara isiyo na lami lakini siyo korofi na inapitika kwa gari lolote lile.
Ndiyo hapo hapo.Njia Panda si ndio pale Nangurukuru kwenye round about na mizani eeh?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Mkuu hata hii 1JZ-FSE ya kwenye Brevis inaguswa ingawa ni natural aspirated. Nina jamaa yangu kaitune kidogo kwa ajili ya safari zake za masafa. Na ni Mara ya pili anachezea injini ya 1JZ - FSE aliikubali kwenye Toyota Progress.Hapana mkuu,engine za brevis (1jz/2jz)-GE/FSE (Non-turbo)hazina modes zozote za maana,unazosemea wewe ni 1jz/2jz-GTE(Turbo) zilizoko kwny ma supra/Aristo ndio baba lao.
Mkuu VW Beetle zenye injini zile za air cooled watu wamezijulia Sasa sio Kama zamani.Hii itakuwa Volkswagen Beetle ya Burigi Chato 🤣 🤣 ,hii gari kwa kuchemsha asikwambie mtu ila ndo hvyo mambo ya Beetle za you tube 😁😁
Ina TB48 au TB45.Kuna Nissan Patrol moja kipisi nayo imefanyiwa mambo inavuruga gari za heshima balaa!
Ndio maana niliandika haina mods zozote za maana mkuu.Mkuu hata hii 1JZ-FSE ya kwenye Brevis inaguswa ingawa ni natural aspirated. Nina jamaa yangu kaitune kidogo kwa ajili ya safari zake za masafa. Na ni Mara ya pili anachezea injini ya 1JZ - FSE aliikubali kwenye Toyota Progress.
Dah Tegeta hio! Ukifika Bagamoyo holla!
Machungwa...
Miguu ishaanza kuniwasha!