Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Barabara ikoje?!
Barabara ikoje?!
Ya kuingia Pakaya ama Kilwa Masoko? Anyway, ukishafika pale Njia Panda na kuanza kuelekea Kilwa Masoko, barabara ni lami hadi ‘town centre’. Kisha kuelekea Pakaya ni barabara isiyo na lami lakini siyo korofi na inapitika kwa gari lolote lile.
 
Perfect.
 
Mtu akianzisha haka ka mchezo ka ku calibrate speed ya gari hasa za kijapani na kufunga Panels zenye speedometer kubwa hata walau za 300kph atatisha sana. Hela lazma zitamfuata kwa wingi.
Inawezekana niliona Toyota Aristo Kama sikosei ya Somji ilifanyiwa maping na GTP Kisha ikawekwa dash ya 260 au 300 ni kitambo kidogo.
 
Ya kuingia Pakaya ama Kilwa Masoko? Anyway, ukishafika pale Njia Panda na kuanza kuelekea Kilwa Masoko, barabara ni lami hadi ‘town centre’. Kisha kuelekea Pakaya ni barabara isiyo na lami lakini siyo korofi na inapitika kwa gari lolote lile.
Njia Panda si ndio pale Nangurukuru kwenye round about na mizani eeh?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Hapana mkuu,engine za brevis (1jz/2jz)-GE/FSE (Non-turbo)hazina modes zozote za maana,unazosemea wewe ni 1jz/2jz-GTE(Turbo) zilizoko kwny ma supra/Aristo ndio baba lao.
Mkuu hata hii 1JZ-FSE ya kwenye Brevis inaguswa ingawa ni natural aspirated. Nina jamaa yangu kaitune kidogo kwa ajili ya safari zake za masafa. Na ni Mara ya pili anachezea injini ya 1JZ - FSE aliikubali kwenye Toyota Progress.
 
Hii itakuwa Volkswagen Beetle ya Burigi Chato 🤣 🤣 ,hii gari kwa kuchemsha asikwambie mtu ila ndo hvyo mambo ya Beetle za you tube 😁😁
Mkuu VW Beetle zenye injini zile za air cooled watu wamezijulia Sasa sio Kama zamani.
Wale jamaa wa Old School Rides wanazo na zinapiga route ndefu za Dar-Dodoma, Dar-Arusha na hazichemshi hata kidogo.

Na ukiikuta Kobe imesukwa ya 1950's inaweza ikakufedhehesha na gari yako ya miaka ya 2000's.
 
Mkuu hata hii 1JZ-FSE ya kwenye Brevis inaguswa ingawa ni natural aspirated. Nina jamaa yangu kaitune kidogo kwa ajili ya safari zake za masafa. Na ni Mara ya pili anachezea injini ya 1JZ - FSE aliikubali kwenye Toyota Progress.
Ndio maana niliandika haina mods zozote za maana mkuu.

Na ndio maana umesema amei tune kidogo.
 
Safari mojaa......

C1D1779D-3703-43DC-936F-320E5713F0DC.jpeg

Huanzisha nyingine.... 🚗🚘🚗🚘🚗🚘
 
Back
Top Bottom