Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kasie Matata he he he
 
Passo hizi hizi? Huyo wa Crown hajaamua tu. Ndio wale unaendesha zako taratibu anapita anaenda kusimulia leo nimeikata Crown kama imesimama!
Yes, namaanisha Passo haiwezi kutanua mbavu kwa crown hata sekunde mbili..

Nilijaribu kum-challenge yule aliyesema Subaru yake imepitwa na IST...

Hapo linakuja suala la aliyeshika usukani, unakuta matu akajilipua kashakunywa Diamond zake...hiyo passo inakanygwa pedal mpaka kwenye floor...

Dereva wa crown kama ni muoga,anapitwa na huyo aliyejitoa ufahamu kwa kunywa Diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…