Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Romantic Picture [emoji3059][emoji3059]

Hayo matone ya mvua, akili imepeleka taswira sehemu 2....

1. Goose pimples baada ya kuguswa maeneo na bae.....[emoji12]

2. The duts.... yenye vidutu sijui vidoti...
Ile zinakaaga 3 kwenye pakti moja....[emoji28]

The car cleanness imeongeza u romantic...., I bet inanukia strawberry au lemon [emoji91][emoji91]
Kasie Matata he he he
 
Passo hizi hizi? Huyo wa Crown hajaamua tu. Ndio wale unaendesha zako taratibu anapita anaenda kusimulia leo nimeikata Crown kama imesimama!
Yes, namaanisha Passo haiwezi kutanua mbavu kwa crown hata sekunde mbili..

Nilijaribu kum-challenge yule aliyesema Subaru yake imepitwa na IST...

Hapo linakuja suala la aliyeshika usukani, unakuta matu akajilipua kashakunywa Diamond zake...hiyo passo inakanygwa pedal mpaka kwenye floor...

Dereva wa crown kama ni muoga,anapitwa na huyo aliyejitoa ufahamu kwa kunywa Diamond
 
Back
Top Bottom