Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hivi mnawezaje kuendesha mchana? Naona kama askari wana njaa wanavizia vitu vidogo vidogo sana...

Imagine nimeovertake lori sehemu ambayo hamna limit na mstari unaruhusu, pako flat na straight nikakamatwa kwamba sikutakiwa kuovertake kwasababu kuna kibao cha Rest stop (ile R ya blue).
 
Ulikuwa mbaya kivipi? Hujatupa mrejesho wa RR Sporty
Kuna gari ukisha kaa, then uka shift kwenye hizi gari zetu, unahisi kama umeingia dunia ingine 😬😬😬.. RR ukiwa nayo hauwi mtu wa meneno maana uwezo wake sio wa kulinganisha na hizi zingine 😀😀😀.. na hata route nilifanya iwe ndefu, nilianza kariua - tabora - Dodoma - Morogoro - Iringa - then nikarudi Mahenge - Alafu Dar es Salaam 😎😎
 
Usiku ni nzuri kwa bara bara unayo ijua, inanoga sanaa
 
Nakuelewa.
 
Anakujaribu huyo. Mchenjie atakuwa mpole.
 
Ukirudi kwenye gari zetu unaona kama umekalia kigoda [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…