ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Usiku wa kuamkia leo mkuu... angalia tarehe na saa kwenye jina la picha.Lini hii mkuu.. mie jana nimepita hapo kama hakuna speed limit [emoji3][emoji3][emoji3]
Huo msemo nadhani nilimuona witnessj kama sikosei aliusema, alikuwa anaelezea jinsi hapendi kuendesha hizi babywalker zetu.Aisee!
Ila ukizoea SUV ukishuka kwenye sedan unaona kama unaburuza makalio chini!Huo msemo nadhani nilimuona witnessj kama sikosei aliusema, alikuwa anaelezea jinsi hapendi kuendesha hizi babywalker zetu.
Sijawahi kuusahau aisee. Kigoda!
Hahaaaaaa duuuhIla ukizoea SUV ukishuka kwenye sedan unaona kama unaburuza makalio chini!
Safari njemaNaingia barabarani wakuu, mkeka wa Iringa - Mbeya. View attachment 1784263
😀😀😀😀 unaona kabisa kuna kitu hakipo sawa.. tuzisake.tu.helaUkirudi kwenye gari zetu unaona kama umekalia kigoda [emoji23]
Shukrani mkuuSafari njema
Nchi kubwa hii huwezi kuimaliza
Jamaa ana energy na mapenzi ya kuendesha.
Kitaifa umebakiza kufika mikoa ipi? [emoji848]Matamanio yangu nikanyage kila eneo la nchi...
Hata ikiwa kwa kupita tuu..
Eid hii nilitaka kupiga trip ila pumzi imekata!
Rukwa (Sumbawanga iko humo)Duuh sijafanya tathmini ila ngoja nijaribu kuorodhesha ambako sijafika....
Mara, Musoma, Mbeya, Songea, Mtwara, Lindi, sikumbuki mingine ambayo sijafika.
Labda nikipata listi ya mikoa yote naweza pata idadi kamili.
Jiografia ilikuwa nene sana enzi zile sikuweza I kumbania mikoa yote [emoji12][emoji12]
Uwe na safari njema kiongozi......ongeza umakiniNaingia barabarani wakuu, mkeka wa Iringa - Mbeya. View attachment 1784263
Rukwa (Sumbawanga iko humo)
Katavi (Mpanda iko humo)
Mara (Musoma iko ndani)
Ruvuma (Songea iko ndani)
Njombe
Iringa
Mtwara
Lindi
Kagera (Bukoba iko humo)
Tanga
Kilimanjaro
Morogoro
Shinyanga
Kigoma
Tabora
Arusha
Dodoma
Manyara
Singida
Mbeya
Songwe
Mwanza
Simiyu
Geita
Unguja**
Pemba**
Dar
Pwani
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Kahama ipo ndani ya Shinyanga.Ooh Kama hiyo ndo mikoa yote ya Tanzania, hivyo ambako sijafika ni...
Rukwa na Sumbawanga yake
Katavi na Mpanda yake
Mara na Musoma yake
Ruvuma na Songea yake
Mtwara
Lindi
Manyara
Mbeya
Songwe
Geita
Unguja na Pemba*** ambayo sio Zanzibar main ndo sijafika.... [emoji28] nilitoroka jiografia aiseeh look aibu hii.
Sijaona ukiitaja Kahama hapo nimefika, sasa sijui iko ndani ya Mkoa upi au inajitegemea.
Inabidi nianze kunywa juisi ya jiografia kwa wingi looh [emoji12].
Kwa hiyo listi hapo juu sijafika mikoa 10 ya Tanzania Bara na Visiwani.
Inshallah Mungu anipe uzima nifike kabla jua halijazama.
Matata the K.
Kahama ipo ndani ya Shinyanga.
Nimezitenga Unguja na Pemba as wengi wabahatikao kufika Zanzibar huishia Unguja, wachache wamefanikiwa kukanyaga visiwa hivi vyote viwili.
Chapa mwendo bado una ka safari ka kuiona Tizii na mema yake
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Uchovu tu nahisi mihangaiko imezidi.