Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Naingia barabarani wakuu, mkeka wa Iringa - Mbeya.
20210514_125315.jpg
 
Kitaifa umebakiza kufika mikoa ipi? [emoji848]

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app

Duuh sijafanya tathmini ila ngoja nijaribu kuorodhesha ambako sijafika....

Mara, Musoma, Mbeya, Songea, Mtwara, Lindi, sikumbuki mingine ambayo sijafika.

Labda nikipata listi ya mikoa yote naweza pata idadi kamili.

Jiografia ilikuwa nene sana enzi zile sikuweza I kumbania mikoa yote 😜😜
 
Duuh sijafanya tathmini ila ngoja nijaribu kuorodhesha ambako sijafika....

Mara, Musoma, Mbeya, Songea, Mtwara, Lindi, sikumbuki mingine ambayo sijafika.

Labda nikipata listi ya mikoa yote naweza pata idadi kamili.

Jiografia ilikuwa nene sana enzi zile sikuweza I kumbania mikoa yote [emoji12][emoji12]
Rukwa (Sumbawanga iko humo)
Katavi (Mpanda iko humo)
Mara (Musoma iko ndani)
Ruvuma (Songea iko ndani)
Njombe
Iringa
Mtwara
Lindi
Kagera (Bukoba iko humo)
Tanga
Kilimanjaro
Morogoro
Shinyanga
Kigoma
Tabora
Arusha
Dodoma
Manyara
Singida
Mbeya
Songwe
Mwanza
Simiyu
Geita
Unguja**
Pemba**
Dar
Pwani

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Rukwa (Sumbawanga iko humo)
Katavi (Mpanda iko humo)
Mara (Musoma iko ndani)
Ruvuma (Songea iko ndani)
Njombe
Iringa
Mtwara
Lindi
Kagera (Bukoba iko humo)
Tanga
Kilimanjaro
Morogoro
Shinyanga
Kigoma
Tabora
Arusha
Dodoma
Manyara
Singida
Mbeya
Songwe
Mwanza
Simiyu
Geita
Unguja**
Pemba**
Dar
Pwani

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app

Ooh Kama hiyo ndo mikoa yote ya Tanzania, hivyo ambako sijafika ni...

Rukwa na Sumbawanga yake
Katavi na Mpanda yake
Mara na Musoma yake
Ruvuma na Songea yake
Mtwara
Lindi
Manyara
Mbeya
Songwe
Geita
Unguja na Pemba*** ambayo sio Zanzibar main ndo sijafika.... 😅 nilitoroka jiografia aiseeh look aibu hii.

Sijaona ukiitaja Kahama hapo nimefika, sasa sijui iko ndani ya Mkoa upi au inajitegemea.
Inabidi nianze kunywa juisi ya jiografia kwa wingi looh 😜.

Kwa hiyo listi hapo juu sijafika mikoa 10 ya Tanzania Bara na Visiwani.

Inshallah Mungu anipe uzima nifike kabla jua halijazama.

Matata the K.
 
Ooh Kama hiyo ndo mikoa yote ya Tanzania, hivyo ambako sijafika ni...

Rukwa na Sumbawanga yake
Katavi na Mpanda yake
Mara na Musoma yake
Ruvuma na Songea yake
Mtwara
Lindi
Manyara
Mbeya
Songwe
Geita
Unguja na Pemba*** ambayo sio Zanzibar main ndo sijafika.... [emoji28] nilitoroka jiografia aiseeh look aibu hii.

Sijaona ukiitaja Kahama hapo nimefika, sasa sijui iko ndani ya Mkoa upi au inajitegemea.
Inabidi nianze kunywa juisi ya jiografia kwa wingi looh [emoji12].

Kwa hiyo listi hapo juu sijafika mikoa 10 ya Tanzania Bara na Visiwani.

Inshallah Mungu anipe uzima nifike kabla jua halijazama.

Matata the K.
Kahama ipo ndani ya Shinyanga.
Nimezitenga Unguja na Pemba as wengi wabahatikao kufika Zanzibar huishia Unguja, wachache wamefanikiwa kukanyaga visiwa hivi vyote viwili.
Chapa mwendo bado una ka safari ka kuiona Tizii na mema yake

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Kahama ipo ndani ya Shinyanga.
Nimezitenga Unguja na Pemba as wengi wabahatikao kufika Zanzibar huishia Unguja, wachache wamefanikiwa kukanyaga visiwa hivi vyote viwili.
Chapa mwendo bado una ka safari ka kuiona Tizii na mema yake

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app

Okay hivyo Pemba ndo bado sijafika, ntamtafuta yakheee afanye wepesi 😅.

Yeah mikoa 10 parefuu, Mungu azidi kunipa uhai na uzima, najitunza vyema niimalize yote.

Kovido ikiisha narudi kupasua anga 😊.

Hivii, Mafia iko mkoa gani...! Nako sijafika.
 
Back
Top Bottom