Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ha ha only one of your own kind...[emoji2]
 
Hii nilitaka nipige December iliopita nikapata uvivu nikanyoosha Dar-Bagamoyo-Segera-Mombo-Moshi-Arusha

Safari hii sikuachii upate uvivu, niko pembeni yako mwanzo mwisho...

Nilitaka kusema niko nyuma yako akili ikaniambia weeeh acha, Bataringaya hatokubali ukae nyuma yake 😅😅😅😜😆😆

Kasinde Matata😉.
 
Hapa atakua amepishana na kipande cha Dom - Kondoa - Babati. Supa tarmac road [emoji91][emoji91]

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app

Weeeh sijawahi pita hiyo, nimetamaniii kama vile kesho nikiwashee...😋😋😋😋

Huwa nawaza na kujiuliza, ukiacha ajali barabarani hivi ndo nimekanyaga pedeli sawa sawa nimetoka Dom alfajiri naisaka Babati kupitia Kondoa. Nahisi njiani kina mapori kadhaa..... sijui kama hiyo njia inapita magari mengi....

Itakuwaje nikipata breakdown, ambazo huwa zinatokea hata kama gari iko sawa kila kitu service tairi bin vipuri.
Ila unashangaa chombo kimezima moto haupiti halafu ni saa kumi jioni...

Keeuwiiiii ntapiga uyoweeeee.... hapo ndo napataga woga wa safari ndefu.

Hizo zote nilizopiga nilikuwa nazunguka na mikonga ya DFP.
Nakumbuka safari moja tumetoka Ifakara tunawahi Msamvu kuna mtu anaenda Dom kutoka Dar tuchukue mzigo....

Hifadhi ya Mikumi suka alikuwa anaachia gia tochi zote alikuwa anaziwashia full anapita. Tulikuja kusimamishwa karibu njia panda ya kwenda Mzumbe. Suka akawaonesha kitambulisho tukauwahi mzigo Msamvu.

I love road trips 🥰.
 
It's less travelled, not advisable kuipita usiku hofu ikiwa on breakdown incidents lakini mapori sijui na nini sijaona maeneo ya kutisha hiivyooo. Road condition is mwaah with clear road signs minus dharura nyinginezo ziwezekanazo kutokea na ukakosa msaada

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 


Mweeh basi hii itabidi niitegee DFP ambapo mie ni abiria siti ya mbele au niwe na partner ili in case of uncertainties tuweze kushikana mikono kuondoa hofu.

Alfajiri yangu huwa ni saa 10 maana yake hadi nuru itawale saa 12 nakuwa nshasogea mbali kidogo.

Ila nikiwa na DFP hata tukiondoka saa mbili asubuhi sina wasi.

Asante kwa tahadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…