Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hivi vipande vinafaa Mjerumani unaisukuma hadi 200+ ila GR na akina Fuga watakupa hasira maanake mshale utalala ndani ya dakika unaanza kusikia limiter in action!
Yeah inaumiza roho sana. Japo watu huko nje wanaona unatembea hakuna mfanowe ila moyoni unajua kabisa akitokea mjerumani au muingereza unawasha kushoto unakaa kwa kutulia.

Ulishawahi kufungua kioo ukiwa 180+ ukasikilizia upepo wake?
 
Sijawahi kufungua kioo mwendo huo. Ila kutembea 180kph na Mjapan inataka moyo wa chuma.
 
Sijawahi kufungua kioo mwendo huo. Ila kutembea 180kph na Mjapan inataka moyo wa chuma.
Nishawahi kupakia abiria wakawa wanapiga stori nikawaambia hivi mnajua tuko 180?

Hawakuamini.

180 ili feel vipi kwenye crown?

Mimi 150 kwenye RAV4 killitime ilinitisha nikarudi. 165 kwenye Harrier tako la nyani iliniogofya kidogo japo niliweza kumaintain.
Ila 180 kwenye hii gari kwakweli usiposoma dash au kuifeel limiter hutakaa ujue
 
Nissan wanajitahidi, nishawahi kupush Y62 V8 hadi 200kph ilikuwa imetulia kabisa. Crown 180kph unahisi anytime kinawaka (kama umezoea gari nyingine zilizotulia)
 
Nissan wanajitahidi, nishawahi kupush Y62 V8 hadi 200kph ilikuwa imetulia kabisa. Crown 180kph unahisi anytime kinawaka (kama umezoea gari nyingine zilizotulia)
Kwakweli sina experience ya ku compare, you must know better.

Ila kama Fuga feels this good at 180, kiasi unaweza ukarelax ukaweka mkono mmoja kwenye steering, sipati picha how germans would feel.
 
Kwakweli sina experience ya ku compare, you must know better.

Ila kama Fuga feels this good at 180, kiasi unaweza ukarelax ukaweka mkono mmoja kwenye steering, sipati picha how germans would feel.
Germany at 180kph huhisi chochote sana sana unazidi kuona gari inakumbatia barabara.
 
Kwa uzoefu wako kwenye mwendo wa 165 Kati ya harriee new model na Kluger ipi imetulia barabarani?
 
Napenda sana kufanya kazi na watu wa namna hii. Si sababu ya kupata urahisi wa kazi kufanyika, bali kujifunza kutokana na uzoefu wake.

Mara nyingi utasikia, dada hapa tusilale, twende tukalale kijiji flani. Usimbishie halafu wanakuwaga very humble.
Ukimkirimu mlo wa safari nzima safari inakuwa fupii, maana hadi maaskari barabarani wanawafahamu.

Wengi wao wanakuwaga informers wa siri kali.
 
Hii ndio yenyewe sasa. Changamoto ni kipande cha Misungwi kuingia Mwanza.

Pita mchana mkuu tena mdogomdogo haswa. Ni barabara mbovu hujapata kuona. Humu ndio nilifyatua stabilizer link moja kwenye mashimo yake.

Hivi kwa nini lile eneo halirekebishwi...!??

Miaka nenda rudi au pana mkondo wa maji pale...??

Wangeweka zege tuu.

Halafu kuna eneo pembezoni kwa barabara wasukuma hupenda kukaa tuu wanapunga upepo wa moshi wa magari mida ya jioni.

Wanagongwa na magari ila hawakomi.

Wasukuma, mlihooo...!!😅😜.
 
Kutokea Shinyanga unaweza kuzungukia Maswa/Bariadi kuna mkeka mtamu sana mpaka Lamadi then ukakunja kushoto kuitafuta Magu then Mwanza.

Yeah, nilishaipita hiyo nikitokea Mwanza kwenda Bariadi. Dreva Dula akasema tupite Lamadi ni fupi, kweli tukaingia Bariadi mapemaa.

Raha ya Mkonga, anachange gia tuu akiminya kidogo huyooo ananyanyua motooo😋😋😋
 
Yeah, nilishaipita hiyo nikitokea Mwanza kwenda Bariadi. Dreva Duka akasema akasema tupite Lamadi ni fupi, kweli tukaingia Bariadi mapemaa.

Raha ya Mkonga, anachange gia tuu akiminya kidogo huyooo ananyanyua motooo[emoji39][emoji39][emoji39]
Hii njia kwakweli nilishasifia sana humu. Ina utamu wa aina yake.
 
Hii ndio yenyewe sasa. Changamoto ni kipande cha Misungwi kuingia Mwanza.

Pita mchana mkuu tena mdogomdogo haswa. Ni barabara mbovu hujapata kuona. Humu ndio nilifyatua stabilizer link moja kwenye mashimo yake.
Na kipande hicho ndo kinaongoza kwa tochi nyingi Tanzania nzima.......hivyo kwenda mdogomdogo kutamsaidia kuepuka mengi
 
Daah.... Hiyo fuga si ya kitoto kwenye kila kitu,kuanzia wese mpaka mbio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…