Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hivi kwa nini lile eneo halirekebishwi...!??

Miaka nenda rudi au pana mkondo wa maji pale...??

Wangeweka zege tuu.

Halafu kuna eneo pembezoni kwa barabara wasukuma hupenda kukaa tuu wanapunga upepo wa moshi wa magari mida ya jioni.

Wanagongwa na magari ila hawakomi.

Wasukuma, mlihooo...!!😅😜.
Tuache!
 
Nishawahi kupakia abiria wakawa wanapiga stori nikawaambia hivi mnajua tuko 180?

Hawakuamini.

180 ili feel vipi kwenye crown?

Mimi 150 kwenye RAV4 killitime ilinitisha nikarudi. 165 kwenye Harrier tako la nyani iliniogofya kidogo japo niliweza kumaintain.
Ila 180 kwenye hii gari kwakweli usiposoma dash au kuifeel limiter hutakaa ujue
Kuna gari ukigusa kuanzia 160 unaanza kupata hofu 😀😀😀.. ila zingine kama hakuna kinacho endelea unaona kabisa kama upo kweye 40..
 
Hii ndio yenyewe sasa. Changamoto ni kipande cha Misungwi kuingia Mwanza.

Pita mchana mkuu tena mdogomdogo haswa. Ni barabara mbovu hujapata kuona. Humu ndio nilifyatua stabilizer link moja kwenye mashimo yake.
ile barabara ile kimeo sana 😀😀😀.. alhamisi nasogea huko nikitokea dodoma
 
Aahahahahahhahaaa

Naanzaje sasa kuwaacha 😜😜😜, wakati hamuendi kwenu hadi mpite Tabora kwetu by Road Trip 😅😅😅

Bataringaya leo ni siku ya kurejesha afya.

Supu ya Sato na mbaazi mbichi zilizochemshwa....

Weeuweeeee protini tupuuu 😋😋😋
I feel so fresh....few days relaxation can do wonders!
 
Back
Top Bottom