Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Tuache!
 
Kuna gari ukigusa kuanzia 160 unaanza kupata hofu 😀😀😀.. ila zingine kama hakuna kinacho endelea unaona kabisa kama upo kweye 40..
 
Hii ndio yenyewe sasa. Changamoto ni kipande cha Misungwi kuingia Mwanza.

Pita mchana mkuu tena mdogomdogo haswa. Ni barabara mbovu hujapata kuona. Humu ndio nilifyatua stabilizer link moja kwenye mashimo yake.
ile barabara ile kimeo sana 😀😀😀.. alhamisi nasogea huko nikitokea dodoma
 
I feel so fresh....few days relaxation can do wonders!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…