Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilitoka Dar saa nane kamili usiku. Mda huo njia inakuwa nyeupe sana, hata malori yanakuwa yamepungua sanaa yani kuna sehemu inafikia hukuti kabisa lori kwa umbali mrefu sanaSaa ngapi hio maanake Dar-Chalinze panapoteza sana muda.
Gari gani ulitumia?juzi nilitumia masaa manne na nusu dar to dodoma [emoji41]
Subaru Forester nyeusi.. 😎Gari gani ulitumia?
Ubungo - Chalinze 60minSubaru Forester nyeusi.. [emoji41]
Maxi AP200 ile Bluetooth obd2 reader, nayo inasaidia kwa matumizi binafsi.Mi nna ki obd reader changu nilinunua china $15 I think. Kinasoma na kuclear check engine vizuri tu. Same codes zinazoonekana na haya mamashine yao makubwa.
Hizi tech zimewekwa makusudi ili bei iwe rahisi but wabongo wanatupigia hapo.
Nikipata hiyo GTi hata ya kuazima nita test mtambo one day. Huwa nazielewa sana hizo machine maana ni 🔥🔥Ubungo - Chalinze 60min
Chalinze - Moro 45min
Moro - Dom 165min
Siku nyingine jaribu na VW Golf GTi utashangaa muda utakaotumia. [emoji91]
Issue ni ku clear taa ya check engine isiwake au ni kutafuta root cause ya tatizo?Mi nna ki obd reader changu nilinunua china $15 I think. Kinasoma na kuclear check engine vizuri tu. Same codes zinazoonekana na haya mamashine yao makubwa.
Hizi tech zimewekwa makusudi ili bei iwe rahisi but wabongo wanatupigia hapo.
Nilishawai ipamia noah na pick up mlangoni ikawa km imegongwa na tren[emoji23][emoji23][emoji23] nikiifikiria ile body afu vjn wa kusafirisha gazet wanavopepea na hizo noah cna ham nao[emoji119]Kweli tatizo hayo mabodi yao ya sasa...Kuna magari ukiyaegemea vibaya, unaweza ukanunua ugomvi,...niliegemea ubavu wa noah siku moja, likabonyea nilipotoka likarudi...bahati mwenyewe hakuwepo hapo...
Kuna jamaa alishaweka ya 4hrs, Jamatini Dom - Ubungo mataa. VXR V8[emoji15][emoji15]Mnataka kuweka rekodi?
kuna raha yake njia ikiwa nyeupe.. unafunguka huku ukiwa na tabasamu usoni 😀😀Wewe urafanya maajabu