Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

J200 series ukiwa 180 kph
wala uhisi kama unatembea, ukiacha prado mchaga sijawahi kuendesha passo, ist safari za mbali..
kidogo noah ambayo nayo speed yake ni 140 kph kidogo sana inaweza kufika 160kph na si zaidi ya hapo
Nyinyi mna roho ngumu na ndio maana mnasafiri usiku. Mchana kuna vikwazo vingi ambavyo vinasaidia ku-limit mwendo.
 
Ila huu utaratibu wa registration naona ni mzuri kwa kweli. Nadhani mpaka namba ziishe turudi kwenye A, it might take another 40-50 years.

Aliyebuni hii kitu tukaondokana na mfumo wa zamani wa TZ... alifikiria vizuri.
Pikipiki ndio zilikiwa zinafanya namba zinakimbia sana. Ulipoanza mfumo mpya wa namba, namba A,B na C ziliwahi fasta. Ila D imekaa sana na ikifika E nahisi itakaa hata zaidi ya miaka 7
 

Mimi ufanye yote: kuwasha indicator wa upande wa kulia, kupunguza mwendo na ku flash high beam! Ni kuchukua tahadhari zote tu.
 
Wazee wa malori wanakuambia...hawakwepi kiumbe chochote chenye mfano wa mtu..
 
Ila huu utaratibu wa registration naona ni mzuri kwa kweli. Nadhani mpaka namba ziishe turudi kwenye A, it might take another 40-50 years.

Aliyebuni hii kitu tukaondokana na mfumo wa zamani wa TZ... alifikiria vizuri.
Ila wangeruhusu pia utaratibu wa ku recycle registration numbers. Yaani kama nilikuwa nina gari lenye usajili wa T560CRA, halafu nikapata gari jipya na hili la zamani nimeacha kulitumia, niweze kutumia hiyo T560CRA kwenye gari jipya. Ili mradi registration card iwe updated tu kutokana na taarifa za gari jipya. Hii inakuwa kama personalise number plate ambayo unaibakiza unapokuwa na gari jipya.

Utaratibu huu upo baadhi ya nchi za nje.
 

this does make sense unajua?

Mimi naamini watendaji wetu serikalini wanakosa imaginations na creativity. Lakini kuna njia nyingi sana za kutengeneza pesa ya serikali bila kumuumiza mwananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…