Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Anaetaka hizi hapa

Screenshot_20210525-091457.pngScreenshot_20210525-091422.pngScreenshot_20210525-091440.png
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Daah acha tu ndugu yangu sasa hivi mambo mengi

Ila nina swali! Hivi mtu ambaye ana tatizo la kutokuona mbali anaweza akaendesha usiku kwa speed ya kuanzia 120kph na kuendelea?
Pole na majukumu.kuhusu usiku atakuwa na changamoto. Usiku kuna limited vision hata kwae wenye good eye sight.
 
Pole na majukumu.kuhusu usiku atakuwa na changamoto. Usiku kuna limited vision hata kwae wenye good eye sight.
Shukrani

Daah sasa huwa najiuliza wale wanaosafiri usiku kwenye hizo speed huwa wanawezaje aiseee

Mimi nina tatizo la kutokuona mbali na huwa nawaza kusafiri usiku kwenye high speed hasa peke yangu

Ila huwa nasoma humu naona watu wanasema wanasafiri usiku kwenye high speed hadi nawaonea wivu
 
Passo hizi hizi? Huyo wa Crown hajaamua tu. Ndio wale unaendesha zako taratibu anapita anaenda kusimulia leo nimeikata Crown kama imesimama!


From my experience, watu wenye magari "proper" au ya kifahari (sorry nimekosa jina sahihi), I mean the likes of VW, mercedes, BMW, Discovery nk.....kwanza wengi ni wenye uwezo kiuchumi.

Wakiwa barabarani wanakuwa waangalifu sana. wengi ni watu wenye familia na exposure.... mara nyingi wengi wanaendeshwa.... wanawaambia madereva wao..sitaki speed! Of course yo have exception too ya vijana wenye magari kama haya wanao-behave tofauti...

Ukichunguza vizuri hawa wenye passo, IST nk ni vijana wanaanza maisha. Wengi wa hii kada wanapenda mashindano barabarani. And they are young and super hyper. Kwa hiyo usishangae mtu anaendesha IST au Passo anampita kiongozi na VW yake..akifika mbele anakwambia hata VW kwa Passo haisogei.

Personally, nikiwa barabarani na VW au BMW, whether ni mimi naendesha au dereva..max ni 120!

Hahahah...My friend ndo nimeanza kuzipata halafu unataka nife kizembe kisa nakimbizana na passo, Raum au Rectis barabarani? hapana aisee....ngoja tuwaache vijana wafaidi ujana wao...🙂
 
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi, marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga, Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?...
Napenda road trip balaa, marafiki zangu ndo hawana hobby hiyo. Basi ni kupambana na tours agency tu hadi kieleweke
 
From my experience, watu wenye magari "proper" au ya kifahari (sorry nimekosa jina sahihi), I mean the likes of VW, mercedes, BMW, Discovery nk.....kwanza wengi ni wenye uwezo kiuchumi...
Uko sahihi kabisa. Ila inataka moyo kwenda safari ndefu na speed ndogo. Muhimu kuwa makini,wengi wanapata ajali kwa kukosa umakini.
 
Back
Top Bottom