Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiku tunawaachia popo!Huyo alikuwa anatembea kati ya 140-150kph. Hapo hata gari ingekuwa na airbag 10 huchomoki. Usiku labda uwe umefunga LED sports light ndio utaweza tembea hizo speed, vinginevyo ni bora utembee mwendo wa mateka 80kph au upambane na vibao vya 50 mchana.
Bila shaka singida hiiView attachment 1795696
Wazee wa location..
Nimeshindwa kukadiria umbali lakini cheki hapaLED sport ligt zinapiga umbali wa mita ngapi ? nije nizifunge hizi nione mtiti wake
Nimeshindwa kukadiria umbali lakini cheki hapa
Dereva selfish tu, anajijali yeye bila kuzingatia wenzakeHuyu mbona kama anapishana na wenzie akiwa kwenye high beam!
Hawa ndio wanafanya sipendi safari ndefu za usiku.Dereva selfish tu, anajijali yeye bila kuzingatia wenzake
walikuwa wana mkazia , na ana wakazia.. mchezo upo sana usikuHuyu mbona kama anapishana na wenzie akiwa kwenye high beam!
Taa za gari nyingi sana zinajitosheleza sana. Wanao sumbua ni wenye fuso na baadhi ya gari kubwa.. na ndio maana na wenye gari ndogo hasa watembea usiku nao wanafunga yao ili kuoneshana makali. Binafsi natumia taa za gari (stock) zinanitosha sana..Ila gari za kisasa zina taa nzuri sana na haziumizi wanaokuja mbele yako
Ndio.Kwenda kuangalia au?
Ila jamaa wa Fuso wana vurugu sana.Taa za gari nyingi sana zinajitosheleza sana. Wanao sumbua ni wenye fuso na baadhi ya gari kubwa.. na ndio maana na wenye gari ndogo hasa watembea usiku nao wanafunga yao ili kuoneshana makali. Binafsi natumia taa za gari (stock) zinanitosha sana..
wanafunga mataa kama disco light 😂😂😂Ila jamaa wa Fuso wana vurugu sana.
Sawa, nitakupa taarifa mkuu.Ikipita Dar nishtue....zamani tulikuwa tunaenda Pugu kuangalia zinavyoruka!
Hizo taa zina faida kwa dereva tu anayeendesha hilo gari, hizi zinaumiza dereva wa gari mnayopishana mpaka mtembea kwa miguu ukipigwa na hizo taa lazima utakuwa blinded for few seconds.Ukipishana na huyu unakuwa blinded for few seconds....
Sawa, nitakupa taarifa mkuu.