Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Personally, night ride ni more preferable, for the purpose of saving time and evading traffic barriers' inconvenience.

Lakini kutekwa ndiyo threat kubwa.

Mchana tochi, Usiku magogo. Opt any at your discretion.

-Kaveli-
 
Nami navaa miwani yenye lens hiyo. Ila nimeanza kuwa napata shida kuona vizuri kuanzia giza linapoingia tu. Yaani taa za gari nyingine zinakuwa zinaniletea wenge kwenye macho.
Duh usiku unaweza kulaumu watu wanayumba kumbe kuna matatizo mengi yanawakabili
 
Mimi nilitokea Namanga Border nina Nissan Safari naitafuta Arusha mjini nikafika arusha majira ya saa moja moja usiku hivi nikaanza safari ya kuitafuta dodoma kupitia kondoa ile barabara ni noma. Kanza hao wanyama barabarani na mkeka umetulia balaa utafikiri Zurich.Nilifika dodoma mida ya saa nne na nusu hivi nikalal pale asubuhi nikaamsha singida. mkeka wa singida dodoma nao ni noma
 
Wanyamapori?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…