tawijeusi
Member
- Mar 10, 2021
- 49
- 45
Duh hadi spare battery, ndio naiona leo hii.
Itakuwa alikutana na majanga huko kabla. Watu wengine unakuta hana hata spare tyre wala wheel spanner.
Tunatofautiana sana.
Nilishapasukiwa tyre njiani baada ya kufunga spare tyre kabla sijafika sehemu naweza kupata nyingine nilikuwa sina raha kabisa maana najiona kabisa namiss kitu.
Tonatofautiana sana mimi kitu pekee nilichonacho ni kidumu cha litres tano tu cha kuwekea petrol,sina spaner yeyote wala spare ya namna yeyote na zaidi ya mwaka sasa sijawahi kupatwa na tatizo lolote ingawa ni hatari sana hii hali