Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duh hadi spare battery, ndio naiona leo hii.

Itakuwa alikutana na majanga huko kabla. Watu wengine unakuta hana hata spare tyre wala wheel spanner.

Tunatofautiana sana.

Nilishapasukiwa tyre njiani baada ya kufunga spare tyre kabla sijafika sehemu naweza kupata nyingine nilikuwa sina raha kabisa maana najiona kabisa namiss kitu.

Tonatofautiana sana mimi kitu pekee nilichonacho ni kidumu cha litres tano tu cha kuwekea petrol,sina spaner yeyote wala spare ya namna yeyote na zaidi ya mwaka sasa sijawahi kupatwa na tatizo lolote ingawa ni hatari sana hii hali
 
Ni teknolojia mpya, sidhani kama imesambaa sana kwa ufanisi.

Nadhani ungecheki na Dr. Agarwals wapo pale Morocco. Labda wameanza kufanya.

Ni delicate procedure ndo maana binafsi sidhani kama ninaweza mpa mtu jicho langu acheze nalo kiasi hiko.
Mkuu, haiko complicated kiasi hicho.
Me nilifanyiwa 2 years ago at Lions SightFirst Eye Hospital, Nairobi.
Nilikuwa discharged on the very same day.
The only concern, nadhani ni post operative pain. Usiku mzima sikulala aisee, nililia na utu uzima wangu.
Improvement ilikuwepo kubwa sana, lkn kuna changamoto za kimaisha zilitokea zikaharibu healing process.
Ni muhimu kuwa financially stable(stable kwelikweli) ili uweze kupata muda mrefu wa kupumzika kwa ajili ya recovery.
 
Ya nini mateso makali hayo?

Tutavaa sana miwani [emoji851]
 
Mkuu, haiko complicated kiasi hicho.
Me nilifanyiwa 2 years ago at Lions SightFirst Eye Hospital, Nairobi.
Nilikuwa discharged on the very same day.
The only concern, nadhani ni post operative pain. Usiku mzima sikulala aisee, nililia na utu uzima wangu.
Improvement ilikuwepo kubwa sana, lkn kuna changamoto za kimaisha zilitokea zikaharibu healing process.
Ni muhimu kuwa financially stable(stable kwelikweli) ili uweze kupata muda mrefu wa kupumzika kwa ajili ya recovery.
Gharama zake ni kiasi gani mkuu??

Maumivu yanachukua muda gani kuisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paka sasa hivi kwa haraka haraka tokaea January ni zaidi ya 12,000km, kwababu ndani ya mwezi mmoja huwa natembea kati ya 2000km -5000km. Na kuna wakati trip moja tu huwa ninaenda zaidi ya +2000km non stop. Mfano kwa mwezi huu peke yake nimetembea 3,500km .. na leo usiku nakiamsha from Dsm to Tabora then mwanza..
Mzee itabidi nikupe assist
 
Tonatofautiana sana mimi kitu pekee nilichonacho ni kidumu cha litres tano tu cha kuwekea petrol,sina spaner yeyote wala spare ya namna yeyote na zaidi ya mwaka sasa sijawahi kupatwa na tatizo lolote ingawa ni hatari sana hii hali
Mimi siwezi tembea safari bila spare tyre maana nishakumbwa sana na shida za kubadili tyres huko nyuma.
 
Back
Top Bottom