Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

...kuna ming'oko mingi sana huko mjomba..
Pia napenda Masasi yale mawe makubwa...
Kule mtwara kuna beach nzuri mfano Mikindani na Shangani...

Lakini pia kuna watoto wa Kimakonde, Kiyao na Kimakua....
Kutongoza hawa ni simple sana...mwambie tu unamleta mjini....atajibu .."Baa! Namie naenda njini..?" Hapo tayari umeshajiopolea......

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Wageni wanakula vyeti balaa. Na njia ilivyo tamu wanajiachia tu

Niliwah kula vyeti jumla 180,000 kwa mwezi wakati mgeni Dsm. Haswa kwenye traffic lines za kwenye mataa, taa inawaka ukipita kama kuna watu unapata cheti kua umekiuka Zebra,dsm bhana. Siku hizi nimekua mbishi sasa nimeacha sera za Arusha za kutobishana nao na kuwaomba sometimes wakuachie
 
Niliwah kula vyeti jumla 180,000 kwa mwezi wakati mgeni Dsm. Haswa kwenye traffic lines za kwenye mataa, taa inawaka ukipita kama kuna watu unapata cheti kua umekiuka Zebra,dsm bhana. Siku hizi nimekua mbishi sasa nimeacha sera za Arusha za kutobishana nao na kuwaomba sometimes wakuachie
Wana take advantage. Yaani ni mwendo wa kuviziana tu
 
Yaani nikiwa zone ile naenda 30kph halafu mtu ananipita mbio nikimkuta mbele anakula cheti najikuta natabasamu....[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi yani kuna raha flani naipata mtu akinipita kwa fujo kwenye eneo ambalo najua jamaa wamo.... ina maana uliniona boya au? Kula cheti [emoji23][emoji23]
 
Hujawahi kupita Kigamboni? Darajani kuna mahali kuna 30 na 60 limit watu wanakula vyeti balaa

Sijapita kitambo sana ila mara ya mwisho napita hizo limit zilikuwepo, na nilikuwa nazifuata huku nanung’unika.

Yaani tairi nzuri, mafuta yamo kwenye gari, service ya gari iko ndani ya muda, lami nyororoo yaani lainiii...... halafu niendeshe spidi 30 kweliii.....🤨🤨🤨

Kuoneana na kutiana majaribuni tuu jamani kama si kushikana ugoni.

Well ukisikia kutii bila shuruti ndo hukuu.
 
Back
Top Bottom