...kuna ming'oko mingi sana huko mjomba..
Pia napenda Masasi yale mawe makubwa...
Kule mtwara kuna beach nzuri mfano Mikindani na Shangani...
Lakini pia kuna watoto wa Kimakonde, Kiyao na Kimakua....
Kutongoza hawa ni simple sana...mwambie tu unamleta mjini....atajibu .."Baa! Namie naenda njini..?" Hapo tayari umeshajiopolea......
Hujawahi kupita Kigamboni? Darajani kuna mahali kuna 30 na 60 limit watu wanakula vyeti balaa
Hapo Salasala mwezi 4 walikula mwekundu 1 jamaa wahuni wewe unapiga tochi maeneo ya jijini kuna wengine huwa wanakaa hapo TemboniHuwa kuna tochi mitaa ya mizani hapa salasala ukiwa unatoka Mwenge kuja Tegeta. Ni pa kuangalia sana hapo,zingine ni Mapinga na Zinga kwa tunaofika Bagamoyo
[emoji23][emoji23][emoji23] Wageni wanakula vyeti balaa. Na njia ilivyo tamu wanajiachia tu
Wana take advantage. Yaani ni mwendo wa kuviziana tuNiliwah kula vyeti jumla 180,000 kwa mwezi wakati mgeni Dsm. Haswa kwenye traffic lines za kwenye mataa, taa inawaka ukipita kama kuna watu unapata cheti kua umekiuka Zebra,dsm bhana. Siku hizi nimekua mbishi sasa nimeacha sera za Arusha za kutobishana nao na kuwaomba sometimes wakuachie
Tumzururishe huyu aone maisha ya wazee wa road trip yalivyoBasi tupange ratiba tupige trip hadi uchoke kuanzia jumapili.. hata miezi misita [emoji16][emoji16]
Mimi niko Green City... nimlete Dodoma Jumatano au Alhamisi umpokee?Basi usijali.. hapo inabidi ukwee mwewe hadi dodoma .. tuanzie trip hapa.. Au tuanzie Green city kituo cha kwanza mikumi [emoji41]
Naona dalili za kupiga hii trip pamojaTrip ya kwanza mbeya mikumi pale, alafu tutarudi dodoma . kituo cha kwanza hapo.. kabla ya kuendelea mbele
Pole mama.Amen [emoji120]
Namshukuru Mungu kwa yote japo bado naumia mno.
Wiki ijayo nashuka hii milima... [emoji39]Nyang'oro! Tanzania is beautiful!View attachment 1809478View attachment 1809480
Pricipal yangu kwenye njia ngeni ni kwamba nafuata speed ya wenzangu. Haiwezekani watu wote waendeshe mdogo mdogo, kuna namna.[emoji23][emoji23][emoji23] Wageni wanakula vyeti balaa. Na njia ilivyo tamu wanajiachia tu
Yaani nikiwa zone ile naenda 30kph halafu mtu ananipita mbio nikimkuta mbele anakula cheti najikuta natabasamu....😂😂😂Pricipal yangu kwenye njia ngeni ni kwamba nafuata speed ya wenzangu. Haiwezekani watu wote waendeshe mdogo mdogo, kuna namna.
Hata mimi yani kuna raha flani naipata mtu akinipita kwa fujo kwenye eneo ambalo najua jamaa wamo.... ina maana uliniona boya au? Kula cheti [emoji23][emoji23]Yaani nikiwa zone ile naenda 30kph halafu mtu ananipita mbio nikimkuta mbele anakula cheti najikuta natabasamu....[emoji23][emoji23][emoji23]
asante sanaaaaa
Hujawahi kupita Kigamboni? Darajani kuna mahali kuna 30 na 60 limit watu wanakula vyeti balaa