Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Extrovert RRONDO

Nimepita Total kuweka kibaba kama mlivyo nishauri 🙂🙂
IMG_20210617_154445639.PORTRAIT.jpg
 
Boss hii post umeipandisha tarehe 15 December, Siku yangu poa.

Sikuiona hii ila nilikua barabaran pia

Feeling ya kulewa kidogo, stress nyingi, mambo hayaendi, baridi kali na kijani kibichi nje ya barabara.

Ila burudani na replay John Dever "County Road" take me home
To the place I belong
West Virginia, mountain mama
Take me home, country roads.

Ila hapo kwenye West Virginia mimi nilikua naiwaza Moshi.

Helen Keller alisema haya maisha haya ni either yawe "a daring adventure" kama sio hivyo basi yasiwe chochote
Umenifanya ni play hiyo nyimbo ya John Denver mda huu.
 
Back
Top Bottom