Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuagiza ile gari Japan mpaka uiweke barabarani ni mkwanja mrefu kidogo..

kiasi kwamba angeweza kuagiza gari nyingine mbadala angalau yenye features za kisasa zaidi..

Yule lazima ni mstaafu kashajazwa ujinga huko..

Maana wastaafu wengi huku ninapoishi wanakaa nadani Ya Rav4 Masawe na Suzuki Vitara au Escudo first generation akijitahidi sana Second generation.....

Ile gari kwa dunia ya leo si ya kuagiza, ni kumvua tu mtu hapa hapa nchini
Tafadhali tuombe radhi wastaafu
 
Ni kweli mkuu mafundi wapo...ila wtz si unajua wanajazana ujinga, wanaambia hilo tege halitengenezeki....japo likitengenezeka litakuja tu kurudi...
Kwa mtu ambaye si makini, atakuwa anapata hasara ya tairi za nyuma mara kwa mara..

[emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16]Si kwamba nazisagia kunguni mkuu....nimemshangaa yule mwamba dunia ya sasa watu wanakaa ndani ya Vanguard, Rav4 miss Tz, Angalau escudo Second generation, Xtrail new model au second generation au Subaru XT....

Yule mwamba lazima ni pensheni inawasha ....
Mkuu kipenda roho. Kuna watu nimewaona wameingiza Cresta GX100 namba hizo hizo DW...
 
Kuagiza ile gari Japan mpaka uiweke barabarani ni mkwanja mrefu kidogo..

kiasi kwamba angeweza kuagiza gari nyingine mbadala angalau yenye features za kisasa zaidi..

Yule lazima ni mstaafu kashajazwa ujinga huko..

Maana wastaafu wengi huku ninapoishi wanakaa nadani Ya Rav4 Masawe na Suzuki Vitara au Escudo first generation akijitahidi sana Second generation.....

Ile gari kwa dunia ya leo si ya kuagiza, ni kumvua tu mtu hapa hapa nchini
Aisee!
 
Cruise auto spare ni wauzaji wa spear party za magari
Jeep,
BMW,
Audi,
Land rover,
Porsche,
Volkswagen,
Chrysler,
Range/Land rover

Duka linapatikana MAKAO MAPYA,EDEN ROAD jirani na cafe laziz restaurant,Arusha

Kwa mawasiliano piga +255743805465,+255786050747
Email:cruisespares@gmail.com
Fb&IG:cruiseautospareparts

Pia usisite kuwasiliana nasi pia tunatoa ushauri.
 
Mkuu kipenda roho. Kuna watu nimewaona wameingiza Cresta GX100 namba hizo hizo DW...
Mkuu cresta au Mark II na Chaser zenye BMS 2000 au 1G hizi nazikubali na hata ndani ukikaa unahisi umekaa ndani ya gari...Zina comfortability flani ukilinganisha na Rav 4 Massawe..

Pia GX 100 zote angalau zina mazuri zaidi ndani yake yahusuyo technology..
 
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi, marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga, Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?

Raha ya road trip inabidi uwe na
1. Kampani nzuri (pisi Kali itapendeza)
2. Gari yenye uwezo.
3. Mfuko uwe na afya kidogo

All in all drive safe and take care
mng'ato
Boeing 747
View attachment 1652044
Boss hii post umeipandisha tarehe 15 December, Siku yangu poa.

Sikuiona hii ila nilikua barabaran pia

Feeling ya kulewa kidogo, stress nyingi, mambo hayaendi, baridi kali na kijani kibichi nje ya barabara.

Ila burudani na replay John Dever "County Road" take me home
To the place I belong
West Virginia, mountain mama
Take me home, country roads.

Ila hapo kwenye West Virginia mimi nilikua naiwaza Moshi.

Helen Keller alisema haya maisha haya ni either yawe "a daring adventure" kama sio hivyo basi yasiwe chochote
 
Kuagiza ile gari Japan mpaka uiweke barabarani ni mkwanja mrefu kidogo..

kiasi kwamba angeweza kuagiza gari nyingine mbadala angalau yenye features za kisasa zaidi..

Yule lazima ni mstaafu kashajazwa ujinga huko..

Maana wastaafu wengi huku ninapoishi wanakaa nadani Ya Rav4 Masawe na Suzuki Vitara au Escudo first generation akijitahidi sana Second generation.....

Ile gari kwa dunia ya leo si ya kuagiza, ni kumvua tu mtu hapa hapa nchini
Aseeeh hatareeeh sana lol, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
IMG_20150401_140242.jpg
IMG_20150401_142548.jpg
IMG_20150401_140632.jpg

MAMBO YA NJIANI HAYA NI MUHIMU. USISAFIRI KIZEMBE
 
Back
Top Bottom