JBourne59
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 946
- 8,640
We unasema Semi (trailer)!!!Kuna ndororo pia kama unaenda mahenge.ni nouma kama unapiga u turn.sijawahi kuona semi kule maana kuna kona ya hatarh halafu mlima ni mkali
Sumbawanga - Muze hata basi tu la kawaida halipiti, ni fuso vipisi (short chassis) labda basi kama zile yutong fupi ndio inaweza kwa kuchekecha
#nyuzi za kona na nyuzi za mwinamo baadhi ya sehemu zinatisha kinoma.