JBourne59
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 946
- 8,640
Tafadhali tuombe radhi wastaafuKuagiza ile gari Japan mpaka uiweke barabarani ni mkwanja mrefu kidogo..
kiasi kwamba angeweza kuagiza gari nyingine mbadala angalau yenye features za kisasa zaidi..
Yule lazima ni mstaafu kashajazwa ujinga huko..
Maana wastaafu wengi huku ninapoishi wanakaa nadani Ya Rav4 Masawe na Suzuki Vitara au Escudo first generation akijitahidi sana Second generation.....
Ile gari kwa dunia ya leo si ya kuagiza, ni kumvua tu mtu hapa hapa nchini