Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hii ID imetusumbua wengi sana kumbe!
Mimi kila nikimtag nakuta tag inagoma, Dah nimekuja kugundua baadaye sana,tena kupitia uzi wake alioanzisha.

Brother RRONDO fanya ubadilishe jina ujiite tu PRONDO.
..Imeandikwa RRONDO, lakini mdomoni najikuta natamka PRONDO...[emoji119][emoji119][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]

Atusamehe bure...hatuna nia mbaya ya kutamka jina lake vibaya..[emoji3][emoji3]
 
Inabidi nivae mawani kumbe anaitwa RRONDO na siyo PRONDO,BOEING akajaribu kunielewesha nilivyo na kichwa kigumu hata sikumuelewa.
Mbona jina lipo wazi hivyo?

Toka siku ya kwanza sijawahi pata shida ya jina lake.

Na huwa nashangaa watu kumuita PRONDO badala ya RRONDO.

Tena hizo RR za mwanzo zinafanana na kifupi cha Rolls Royce. Nikajua anapenda sana hizo gari ndo maana akaamua chukua kifupi chake cha RR.
 
Tusiojua magari tulikosea mara nyingi tu jina lake.
Wachache sana kama nyie mlio makini ndio mligundua hilo mapema.
 
RR karibia wote tunalipenda tatizo bajeti tu lakini one day yes mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…