Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Naomba code ya hapa 😊😊..Hii nchi nzuri sana..,.
View attachment 1826579
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba code ya hapa 😊😊..Hii nchi nzuri sana..,.
View attachment 1826579
Napataga shida sana kumuamini mtu.. huwa mda wote nakuwa na hofu katika uendeshaji wa mtu mwingineDereva kumuamini dereva kazi.....
Pazuri sana, acha tupate safari ya hukoLushoto....Swiss cottage. Jirani na kwa late Pres. Mkapa.
Haya ndio maeneo mazuri ya kwenda kuondoa stressAmazing place.
Haya ndio maeneo mazuri ya kwenda kuondoa stress
Unaingilia pale Mombo halafu unaanza kupanda mlimani. Ukifika Lushoto town unaendelea kupanda ndio unafika hapo Swiss cottage na kuna ingine inaitwa Muller's lodge ndio imepakana kabisa na kwa late Pres Mkapa.Haya ndio maeneo mazuri ya kwenda kuondoa stress
Hii Mwanzo wa mwezi ujao, nitaunda hata ki emergency cha uongo na kweli, ili boss anielewe niende nikatoe maluwe luwe ha barabarani kidogo 😀😀Unaingilia pale Mombo halafu unaanza kupanda mlimani. Ukifika Lushoto town unaendelea kupanda ndio unafika hapo Swiss cottage na kuna ingine inaitwa Muller's lodge ndio imepakana kabisa na kwa late Pres Mkapa.
Umenikumbusha mazinde juu kuko vizur Sana huko lushoto mpak Apple zinastawi huko.Lushoto....Swiss cottage. Jirani na kwa late Pres. Mkapa.
Muller's lodge ni kwa yule bibi point 5 wa kijerumaniUnaingilia pale Mombo halafu unaanza kupanda mlimani. Ukifika Lushoto town unaendelea kupanda ndio unafika hapo Swiss cottage na kuna ingine inaitwa Muller's lodge ndio imepakana kabisa na kwa late Pres Mkapa.
tuelekeze na sisi wamabusUnaingilia pale Mombo halafu unaanza kupanda mlimani. Ukifika Lushoto town unaendelea kupanda ndio unafika hapo Swiss cottage na kuna ingine inaitwa Muller's lodge ndio imepakana kabisa na kwa late Pres Mkapa.
Mimi kazi yangu Ni kutoa oil chafu[emoji1]We usiniambie[emoji2960][emoji38]
Kwahiyo mimi kazi yangu ni kuweka wese tu,au na wese anajitolea mtu kuniwekea[emoji38].
Ngoja wahusika waje kila mmoja asome majukumu yake[emoji38]