Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Safi sana chief.
 
aiseee hivo ni vyuma hatari
kutokana na uchache wake barabarani ukiona linapita lazima ugeuze shingo kuya tazama

siku moja nipo maeneo ya kibamba barabara ya morogoro kuna kama kamsafara kalikua na gari 4 nikipishana nazo nakumbuka niliona
dude lime andikwa GMC
kulikua na toyota tundra
pamoja na
Cadillac Escalade
zikiwa zime ongozana kwa pamoja
 
Walikua wamarekani nini maana hio tundra ni ya USA
 
Vyuma vya maana mno.

Ila kuna picha moja plate namba inaonekana mkuu. Angalizo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…