Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

MM napenda sana magari ya kimarekani ila ushuru wake hapa ni noma. mwaka 2004 niliagiza gari tatu Dodge Charger, Chrysler 300 na BMW 745i Presidential. Mbona nilikoma pale bandarini ushuru ulikuja milioni 65. TRA walivyonasifa basi. nikayatumia tumia mengine nikawa nabebea harusi. Maana ule ushuru sikuutegemea. mwisho wa siku baada ya miaka mitatu nikayauza yote. ndio nikanunua crown athelete mwaka 2013 nayo nikaa nayo kwa miaka 5 nikaiuza sasa hivi ndio niko kwenye majesta V8 ila bado nissan safari ndio naipenda inamwaka wa 28 sasa.

Hayo magari achana nayo kabisa nimesafiri nayo mpaka kijiji singida huko yapo comfortable balaa. halafu nilikuwa siweki namba yaani traficc akiliona linavyotisha yeye anashangaa wala hanikamati. Hio pua ya mbele tu traffic anaogopa. hahahhahhahahaha

View attachment 1829333

View attachment 1829334

View attachment 1829335

View attachment 1829336

View attachment 1829338

View attachment 1829339
Safi sana chief.
 
aiseee hivo ni vyuma hatari
kutokana na uchache wake barabarani ukiona linapita lazima ugeuze shingo kuya tazama

siku moja nipo maeneo ya kibamba barabara ya morogoro kuna kama kamsafara kalikua na gari 4 nikipishana nazo nakumbuka niliona
dude lime andikwa GMC
kulikua na toyota tundra
pamoja na
Cadillac Escalade
zikiwa zime ongozana kwa pamoja
 
Walikua wamarekani nini maana hio tundra ni ya USA
 
MM napenda sana magari ya kimarekani ila ushuru wake hapa ni noma. mwaka 2004 niliagiza gari tatu Dodge Charger, Chrysler 300 na BMW 745i Presidential. Mbona nilikoma pale bandarini ushuru ulikuja milioni 65. TRA walivyonasifa basi. nikayatumia tumia mengine nikawa nabebea harusi. Maana ule ushuru sikuutegemea. mwisho wa siku baada ya miaka mitatu nikayauza yote. ndio nikanunua crown athelete mwaka 2013 nayo nikaa nayo kwa miaka 5 nikaiuza sasa hivi ndio niko kwenye majesta V8 ila bado nissan safari ndio naipenda inamwaka wa 28 sasa.

Hayo magari achana nayo kabisa nimesafiri nayo mpaka kijiji singida huko yapo comfortable balaa. halafu nilikuwa siweki namba yaani traficc akiliona linavyotisha yeye anashangaa wala hanikamati. Hio pua ya mbele tu traffic anaogopa. hahahhahhahahaha

View attachment 1829333

View attachment 1829334

View attachment 1829335

View attachment 1829336

View attachment 1829338

View attachment 1829339
Vyuma vya maana mno.

Ila kuna picha moja plate namba inaonekana mkuu. Angalizo tu.
 
Short trip
IMG_20210626_075135_3.jpg
 
Back
Top Bottom