Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
πππππ sio kwa mwaka huu mkuu.. kwa hiyo bei. Candle ya mwezi huu imedunguka vizuri. Labda coona iwake tena ila bila hivyo kwa hiyo bei ni mwakaniNimekwambia hivi yakishuka hadi tzs 2000 nishtue.
Nimekwambia weka rekodi yaani kumbuka leo 2405 ikishuka kwenye 2000 nikumbushe. Hakuna asiejua kuwa soko la dunia mafuta huwa yanapanda na kushuka. Hata wakati wa korona yalishuka an bei zetu zilifika 1800 huko.Siongei maneno matupu, naenda chart. Ndicho ninacho ongelea labda kama hatuelewani na ninacho maanisha. Kwenye market yoyote huwa kuna correction. Ndio maana nakataa kwamba yatapanda moja kwa moja
View attachment 1836658
Kwa Bongo kawaida kupanda na kushuka ni -/+100 hivyo kutoka tena 2400 kuja 2000 ni mpaka janga kama corona liwe kama mwaka jana au juzi i think.πππππ sio kwa mwaka huu mkuu.. kwa hiyo bei. Candle ya mwezi huu imedunguka vizuri. Labda coona iwake tena ila bila hivyo kwa hiyo bei ni mwakani
Kuja kufika hizo bei ni nadra sana.Kwa Bongo kawaida kupanda na kushuka ni -/+100 hivyo kutoka tena 2400 kuja 2000 ni mpaka janga kama corona liwe kama mwaka jana au juzi i think.
[emoji1787][emoji1787]Kuna kipande kimoja kabla hujafika Msata Kiko vizuri sana. This time nimejitahidi kwenda Moro sijazidi 140kph ila kurudi few occasions watu wamenichokoza nikafika around 175 hivi. Sipendi dharau [emoji23][emoji23]
Ha ha mkuu unanitukana ujue [emoji23]Nimeliacha site watu walitumie , gari la hovyo sijapata kuona..
ππππππ.. ni gari nzuri lakini ππHa ha mkuu unanitukana ujue [emoji23]
Kabisa nyie wazee wa kutembea mda wote bara barani ndio mnajua vyombo, ulivyokiita upumbavu nikakumbuka 35+M niliyodondosha mpaka kuitia mkononi + vi hela kadhaa vya kununua sterling rack ambayo bado ipo nairobi roho ikaniuma[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849].. ni gari nzuri lakini [emoji19][emoji19]
Nisiwe mnafiqKabisa nyie wazee wa kutembea mda wote bara barani ndio mnajua vyombo, ulivyokiita upumbavu nikakumbuka 35+M niliyodondosha mpaka kuitia mkononi + vi hela kadhaa vya kununua sterling rack ambayo bado ipo nairobi roho ikaniuma
Picha ina mda kidogo View attachment 1837236
Unaendesha gari gani mkuu?Nisiwe mnafiq
Hizi gari hazijawahi nibariki
Prado mchagaUnaendesha gari gani mkuu?
Hapo kweli haziwezi kukubariki hii ndinga ni ya 2015 inakubarikije?Prado mchaga
Hehehehehehe hatukomi, hatuachi na hatubadilishi magari.Road trippers nawakumbusha petrol Lita moja ni 2400 huko muendako inaweza kuwa 2600!
Safari njema
Sio XT? Haina turbo?Kabisa nyie wazee wa kutembea mda wote bara barani ndio mnajua vyombo, ulivyokiita upumbavu nikakumbuka 35+M niliyodondosha mpaka kuitia mkononi + vi hela kadhaa vya kununua sterling rack ambayo bado ipo nairobi roho ikaniuma
Picha ina mda kidogo View attachment 1837236
Wanasema hiviHapo kweli haziwezi kukubariki hii ndinga ni ya 2015 inakubarikije?
Gari nzuri sana.Kabisa nyie wazee wa kutembea mda wote bara barani ndio mnajua vyombo, ulivyokiita upumbavu nikakumbuka 35+M niliyodondosha mpaka kuitia mkononi + vi hela kadhaa vya kununua sterling rack ambayo bado ipo nairobi roho ikaniuma
Picha ina mda kidogo View attachment 1837236
Chrysler ndani ni simple tu ila comfortability Chrysler ni kali halafu ni nzito pia inakimbia mno ni 240km ph. Crown Athelete nalijua sana ile gari nilinunua mwaka 2013 nikaliuza mwaka 2018. Nanimesafiri nalo sanaa mpaka basi. ni gari nzuri nalo lipo comfortable tena likiwa na mzigo ndio huwa linakaa vizuri barabarani. au uwe umepakia vibonge wanne nyuma. hahahahahhahhaha. ila kwa sasa nina majesta V8 naona ni kama ndege ndani fridge kila kitu sensors za kutosha. ukisafiri hautamani kufika.Swali la mwisho mkubwa
Je chrysler na crown kwa ndani kimuonekano lipi unalipa go ahead
Comfortability je
Najua kama chrysler ulitamba nalo basi
Crown ndege ya chini huwezi ukawa hujaipanda au kuitest ππππ
Kuchezea kilometre ni kitu cha kawaida. wajapan wenyewe wanachezea sana haya magari wanaotuuzia sijui beforward na sbt . sasa wewe ndio unatengeneza gari utashindwa kurudisha kilometre nyuma iwe digital au non digitalNdo maaana na yake ilikuja na container ah ah ah mkuu wasiwasi wa kwamba kilometre zilichezewa unazidi kua juu teh teh(πππ)
Naomba yeyote anijibu
Je electrical dash zinaweza kuchezewa kama hizi kwenye premio zetu maan ile ya pale nmeona electrical kwenye hilo dinga
Ukisha nunua gari swala la mafuta usilalamike. kaa ukijua gari linahitaji mafuta mda wote. mm full tank ya majesta hainifikishi arusha lazima nijaze tena kabla sijafika moshiHehehehehehe hatukomi, hatuachi na hatubadilishi magari.
Mtu kama mwendazake-ndago anasukuma Majesta V8 4.2L, haya mabadiliko madogo madogo katika bei ya mafuta unafikiri anayasikia? Hawa watu washazoea akifika sheli anasema jaza mpaka nozzle ikate analipa anasepa. Kifuatacho ni kututimulia vumbi.
maana hilo pupwe tu la ndani kama russia. full kipupwe full whiskeyUkisha nunua gari swala la mafuta usilalamike. kaa ukijua gari linahitaji mafuta mda wote. mm full tank ya majesta hainifikishi arusha lazima nijaze tena kabla sijafika moshi