Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Siongei maneno matupu, naenda chart. Ndicho ninacho ongelea labda kama hatuelewani na ninacho maanisha. Kwenye market yoyote huwa kuna correction. Ndio maana nakataa kwamba yatapanda moja kwa moja
View attachment 1836658
Nimekwambia weka rekodi yaani kumbuka leo 2405 ikishuka kwenye 2000 nikumbushe. Hakuna asiejua kuwa soko la dunia mafuta huwa yanapanda na kushuka. Hata wakati wa korona yalishuka an bei zetu zilifika 1800 huko.
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ sio kwa mwaka huu mkuu.. kwa hiyo bei. Candle ya mwezi huu imedunguka vizuri. Labda coona iwake tena ila bila hivyo kwa hiyo bei ni mwakani
Kwa Bongo kawaida kupanda na kushuka ni -/+100 hivyo kutoka tena 2400 kuja 2000 ni mpaka janga kama corona liwe kama mwaka jana au juzi i think.
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849].. ni gari nzuri lakini [emoji19][emoji19]
Kabisa nyie wazee wa kutembea mda wote bara barani ndio mnajua vyombo, ulivyokiita upumbavu nikakumbuka 35+M niliyodondosha mpaka kuitia mkononi + vi hela kadhaa vya kununua sterling rack ambayo bado ipo nairobi roho ikaniuma

Picha ina mda kidogo
20201216_135809.jpg
 
Kabisa nyie wazee wa kutembea mda wote bara barani ndio mnajua vyombo, ulivyokiita upumbavu nikakumbuka 35+M niliyodondosha mpaka kuitia mkononi + vi hela kadhaa vya kununua sterling rack ambayo bado ipo nairobi roho ikaniuma

Picha ina mda kidogo View attachment 1837236
Nisiwe mnafiq

Hizi gari hazijawahi nibariki
 
Road trippers nawakumbusha petrol Lita moja ni 2400 huko muendako inaweza kuwa 2600!
Safari njema
Hehehehehehe hatukomi, hatuachi na hatubadilishi magari.

Mtu kama mwendazake-ndago anasukuma Majesta V8 4.2L, haya mabadiliko madogo madogo katika bei ya mafuta unafikiri anayasikia? Hawa watu washazoea akifika sheli anasema jaza mpaka nozzle ikate analipa anasepa. Kifuatacho ni kututimulia vumbi.
 
Kabisa nyie wazee wa kutembea mda wote bara barani ndio mnajua vyombo, ulivyokiita upumbavu nikakumbuka 35+M niliyodondosha mpaka kuitia mkononi + vi hela kadhaa vya kununua sterling rack ambayo bado ipo nairobi roho ikaniuma

Picha ina mda kidogo View attachment 1837236
Sio XT? Haina turbo?

Holy Man na wadau wengine humu kinachozingatiwa kujudge gari ni mwendo na interior comfort tu.

Its a proper car basi tu vigezo vya wazee wa road trip vimeegemea kushoto [emoji23][emoji23] tunaliwashia indicator tunasepa.

Unaendesha chuma ina only 6 years since imetoka kiwandani. Heshima sana kwako mkuu. Sure itakuwa na safety features za kutosha na itakuhudumia kwa miaka mingi ijayo.
 
Kabisa nyie wazee wa kutembea mda wote bara barani ndio mnajua vyombo, ulivyokiita upumbavu nikakumbuka 35+M niliyodondosha mpaka kuitia mkononi + vi hela kadhaa vya kununua sterling rack ambayo bado ipo nairobi roho ikaniuma

Picha ina mda kidogo View attachment 1837236
Gari nzuri sana.
 
Swali la mwisho mkubwa
Je chrysler na crown kwa ndani kimuonekano lipi unalipa go ahead
Comfortability je

Najua kama chrysler ulitamba nalo basi
Crown ndege ya chini huwezi ukawa hujaipanda au kuitest ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Chrysler ndani ni simple tu ila comfortability Chrysler ni kali halafu ni nzito pia inakimbia mno ni 240km ph. Crown Athelete nalijua sana ile gari nilinunua mwaka 2013 nikaliuza mwaka 2018. Nanimesafiri nalo sanaa mpaka basi. ni gari nzuri nalo lipo comfortable tena likiwa na mzigo ndio huwa linakaa vizuri barabarani. au uwe umepakia vibonge wanne nyuma. hahahahahhahhaha. ila kwa sasa nina majesta V8 naona ni kama ndege ndani fridge kila kitu sensors za kutosha. ukisafiri hautamani kufika.
 
Ndo maaana na yake ilikuja na container ah ah ah mkuu wasiwasi wa kwamba kilometre zilichezewa unazidi kua juu teh teh(๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚)
Naomba yeyote anijibu
Je electrical dash zinaweza kuchezewa kama hizi kwenye premio zetu maan ile ya pale nmeona electrical kwenye hilo dinga
Kuchezea kilometre ni kitu cha kawaida. wajapan wenyewe wanachezea sana haya magari wanaotuuzia sijui beforward na sbt . sasa wewe ndio unatengeneza gari utashindwa kurudisha kilometre nyuma iwe digital au non digital
 
Hehehehehehe hatukomi, hatuachi na hatubadilishi magari.

Mtu kama mwendazake-ndago anasukuma Majesta V8 4.2L, haya mabadiliko madogo madogo katika bei ya mafuta unafikiri anayasikia? Hawa watu washazoea akifika sheli anasema jaza mpaka nozzle ikate analipa anasepa. Kifuatacho ni kututimulia vumbi.
Ukisha nunua gari swala la mafuta usilalamike. kaa ukijua gari linahitaji mafuta mda wote. mm full tank ya majesta hainifikishi arusha lazima nijaze tena kabla sijafika moshi
 
Back
Top Bottom