Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

WATU WENGINE NIKUFUATA TU MKUMBO WANANUNUA GARI KWASABABU NJE NIZURI HAWAJUI COST ZA MAINTENANCE NA SERVICE. PIA HAWAJUI ULAJI WA MAFUTA WA GARI. VIJANA WENGI WAMEKIMBILIA CROWN ATHELETE ILA WANAUMIA KWENYE SERVICE NA MAFUTA
Eti inakula mafuta vizuri.....kumbe inabidi uendeshe kama IST yaani huna Uhuru na gari yako!
 
Asalaleee chuma kweli kweli hiki. Lazima ufurahie trip zako
 
Ongezea na kunya moshi linapokamuliwa milimani

Ongezea na kunya moshi linapokamuliwa milimani!
Kipindi naanza mitkasi nilikuwa naitamani Sana Hilo Y60, nilikuwa nikiliona la tajiri mmoja wa pale Sinza madukani mmiliki wa hotel fulani udenda ulikuwa unanitoka......for now hapana
 
Will opt hiyo ya Dar Arusha Kondoa ,sawa mzigo umetulia na kuvutia ila nikuachie tuu utambe nalo maana mwenzetu imeshazoea hayo magas guzzler,ikiwa uliyaweza yale madude ya kiamerika hiyo jesta halikutishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…