Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Tunapenda vizuri, lakini hatupo tayari ku gharamia kabisa. Nashukuru nilishatokaga kwenye kulia kuhusu mafuta na ulaji wa mafutaHizi gari kwa engine size zake zinakula mafuta vizuri ila kama shida na umaskini wetu tunataka tupate 15km/l
[emoji23][emoji23]kile ni chombo cha kazi mkuu....hakihitaji mwendo mkaliHamna mwendo mle mkuu. Y60 la diesel lina kelele tu
Hii sentensi imegharimu watu wengi.....Huwa wanadanganywa mafuta kidogo umeme mwingi [emoji23][emoji23][emoji23]
Nzuri.Kabisa nyie wazee wa kutembea mda wote bara barani ndio mnajua vyombo, ulivyokiita upumbavu nikakumbuka 35+M niliyodondosha mpaka kuitia mkononi + vi hela kadhaa vya kununua sterling rack ambayo bado ipo nairobi roho ikaniuma
Picha ina mda kidogo View attachment 1837236
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu chombo hicho, mengine humu huwa just utani mkuu wangu. Chombo yako imenyooka sana boss
Ha ha hapa unapuliza braza baada ya kutupasua wenye subaru [emoji28][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu chombo hicho, mengine humu huwa just utani mkuu wangu. Chombo yako imenyooka sana boss
Kimeumanaaaah, chombo ya nani hii? DaaaaahKWANZA SHOCKUP ZAKE NI ZA BOOSTER - GARI INAPANDA NA KUSHUKA. NIKIONA NAKARIBIA SIJUI BARABARA YA VUMBI NABONYEZA TU MZIGO UNAPANDA JUU. HAIJAWAHI KUKWARUZA . MZIGO HUO HAPO MTONGWE. INABIDI SIKU MMOJA NIKTAFUTE TUPIGE DAR ARUSHA KONDOA DODOMA MORO DAR JUST FOR FUN. AU DAR ARUSHA BABATI KATESH SINGIDA DODOMA MORO DAR. MVUA IKINYESHA WIPER ZINAPIGA ZENYEWE MVUA IKIZIDI WIPER ZINAJIONGEZA ZENYEWE. MJAPAN NOMA. PIA INA APP. UKIPAKI SEHEMU INAKUTUMIA UJUMBE KWENYE SIMU KWAMBA UMEPAKI SEHEMU FULANI SAA FULANI NAKAMA HUKUMBUKI UMEPAKI WAPI ITAKUELEKEZA KWENYE SIMU ULIPOPAKI GARI YAKO. NOMA
View attachment 1838087
View attachment 1838097
View attachment 1838098
[emoji1787][emoji1787] si ndio maana nkasema matusi haya pamoja na kutoboka koteSio XT? Haina turbo?
Holy Man na wadau wengine humu kinachozingatiwa kujudge gari ni mwendo na interior comfort tu.
Its a proper car basi tu vigezo vya wazee wa road trip vimeegemea kushoto [emoji23][emoji23] tunaliwashia indicator tunasepa.
Unaendesha chuma ina only 6 years since imetoka kiwandani. Heshima sana kwako mkuu. Sure itakuwa na safety features za kutosha na itakuhudumia kwa miaka mingi ijayo.
Mimi nikitoka sirudi[emoji23][emoji23][emoji1787]View attachment 1838153
Ha ha nikuwekee Wildtrak mzee, utasogea hapo?usitafute sifaWanasema hivi
Usiangalie kasha ingia zama na usome maudhui..
Umekomet ukaona umepatiaa?!!
[emoji23][emoji23][emoji1787]View attachment 1838153
Subaru zimesimama, sema tu upenzi. Mfano mie ni gari ambazo hazinibariki, haimaanishi kwamba hazifai. Kila mtu na mapenzi yake mkuu wangu.Ha ha hapa unapuliza braza baada ya kutupasua wenye subaru [emoji28]
Ilitakiwa ifike 330kph?Kuwa engine V8 halafu mwendo mwisho 180kph ni matumizi mabaya ya rasilimali.
Why?Tz is beautiful indeed [emoji176] my trip was bad though[emoji1751]
View attachment 1838331View attachment 1838332
Kulikuwa na shida au ulikwazika tuu kibinaadam?Tz is beautiful indeed [emoji176] my trip was bad though[emoji1751]
View attachment 1838331View attachment 1838332
Halafu utokomee!