Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Tunapenda vizuri, lakini hatupo tayari ku gharamia kabisa. Nashukuru nilishatokaga kwenye kulia kuhusu mafuta na ulaji wa mafutaHizi gari kwa engine size zake zinakula mafuta vizuri ila kama shida na umaskini wetu tunataka tupate 15km/l