Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe bado mtoto mdogo.
Subiri,kadiri umri utakavyoongezeka,utakua kimawazo na kuanza kuhitaji kuwa na familia.

Hao walio above 30 na wana msimamo kama wako basi wanakudanganya..
Wengi wanakuwa wamekata tamaa(sizitaki hizi mbichi)
Watu sahihi wa kuwaoa hawajapatikana,mwishowe wanakuja na kauli kwamba ndoa siyo muhimu.
Sasa huko ni kukariri maisha

Siyo wote wenye umri huo na hawajaolewa basi ni "sizitaki mbichi hizi"

Kuna wengine nawajua ni wana wapenzi kabisa wanaotaka kuwaoa ila wao wanasema hapana bora waachane kuliko kuingia kwenye ndoa

Nimegundua ndoa wala siyo nature ila ni wabongo tu ndiyo tunalazimisha iwe nature mbona kwa wazungu kuna watu wanaishi tu bila ndoa na wana maisha mazuri yenye furaha

Na mtu kuamua kutokuoa au kutokuolewa ilikuwepo tangu enzi za biblia na hakuna andiko linalomkataza mtu kuwa single ili mradi tu asifanye uzinzi wa aina yoyote ile
 
Bado nipo.
Sijaanza kuzurura hadi niwe na mwenyeji,si unajua mimi wa mkoani eehh!
Kupotea nje nje,,mfano nikitoka hapa niende k/koo ,,I'm sure sitaweza kurudi,nitapotea..
Mimi mbovu sana kwenye dira(hii hata kule kwetu mkoani huwa inanikuta).

Ila hapo kwenu nadhani ndiyo sehemu pekee ninayoijua hapa DSM.
Ouyeaaaah karibu sana kwetu, kwani ni wapi hapa kwetu unapopajua?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado nipo.
Sijaanza kuzurura hadi niwe na mwenyeji,si unajua mimi wa mkoani eehh!
Kupotea nje nje,,mfano nikitoka hapa niende k/koo ,,I'm sure sitaweza kurudi,nitapotea..
Mimi mbovu sana kwenye dira(hii hata kule kwetu mkoani huwa inanikuta).

Ila hapo kwenu nadhani ndiyo sehemu pekee ninayoijua hapa DSM.

Ukitaka kuzuru Kariakoo
Njoo nitakushika mkono

Utapata na pa kulala free (hotel)
 
Back
Top Bottom