Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Mithali 31:4Kumbe unajua?!! Haya karibu chamani
😃😃🤭 sio kila sehemu wana huduma ya lipa kwa mpesaHela tena ? Unataja sehemu uanyo enda kunywa tunalipa kwa mpesa tu.. 😀😀
Aaah! Hiyo sehemu inakuwa too local.. ambayo haina huduma hizo.. tafuta sehemu yenye hiyo hudma tu hiyo siku 😀😀😀..😃😃🤭 sio kila sehemu wana huduma ya lipa kwa mpesa
Haya subiri wkend ifike 😂Aaah! Hiyo sehemu inakuwa too local.. ambayo haina huduma hizo.. tafuta sehemu yenye hiyo hudma tu hiyo siku 😀😀😀..
Vigezo na masharti kuzingatiwa
😳😳😳 weekend ni lini mkuu ? Katikati ya wiki kuanzia j.4 na j.5 viwanja flani huwa inanoga sana..Haya subiri wkend ifike 😂
Wkend huku zinaanza Alhamis +😳😳😳 weekend ni lini mkuu ? Katikati ya wiki kuanzia j.4 na j.5 viwanja flani huwa inanoga sana..
Jumanne huwa tamu sana, na jumatano, kidogo na jumamosi 🙂🙂Wkend huku zinaanza Alhamis +
Hahaha sasa mkuu kama kitu unajiona kabisa kuwa haukiwezi unafanyeje eti🥲🥲🥲 mnione niwape utamu ndoa.. achaneni na hiyo misimamo aseee
Yeah sure mkuuUkitumia kiasi pasipo ku athari chochote, katika mfumo wa afya yako na akili zako, inakuwa good for you
Sasa huko ni kukariri maisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe bado mtoto mdogo.
Subiri,kadiri umri utakavyoongezeka,utakua kimawazo na kuanza kuhitaji kuwa na familia.
Hao walio above 30 na wana msimamo kama wako basi wanakudanganya..
Wengi wanakuwa wamekata tamaa(sizitaki hizi mbichi)
Watu sahihi wa kuwaoa hawajapatikana,mwishowe wanakuja na kauli kwamba ndoa siyo muhimu.
Sure mkuu and same applies to ndoa[emoji45][emoji45][emoji45].. hapana mie kutokunywa sio sababu ya kuwa haiondoi mawazo.. mie sijawai tu kuinywa, hapa duniani sio lazima kila kitu ufanye mkuu.. mengine unawaachia na wengine ..
SM-A705FChief samahani, hii ni camera ya simu aina gani? [emoji91]
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Sijui nielezeeje mkuu ila nilimaanisha hizi safari za baharini huwa nazipenda tu yaani
Daah acha mkuuSanaaa yani.. imgn unaogelea zako hapa.. na mazingira mazuri
View attachment 1842582
Ouyeaaaah karibu sana kwetu, kwani ni wapi hapa kwetu unapopajua?[emoji23][emoji23][emoji23]Bado nipo.
Sijaanza kuzurura hadi niwe na mwenyeji,si unajua mimi wa mkoani eehh!
Kupotea nje nje,,mfano nikitoka hapa niende k/koo ,,I'm sure sitaweza kurudi,nitapotea..
Mimi mbovu sana kwenye dira(hii hata kule kwetu mkoani huwa inanikuta).
Ila hapo kwenu nadhani ndiyo sehemu pekee ninayoijua hapa DSM.
Kimeumanaaaah.View attachment 1841906
Wanyamwezi hatuko nyuma...
“..... and berbaque” [emoji39][emoji39][emoji12][emoji12][emoji12][emoji28]
😀😀😀😀Sure mkuu and same applies to ndoa
🙂🙂🙂 kuna vitu vinaonekana hatuviwezi kwasababu tu ya mazingira yalio tuzunguka.Hahaha sasa mkuu kama kitu unajiona kabisa kuwa haukiwezi unafanyeje eti
Bado nipo.
Sijaanza kuzurura hadi niwe na mwenyeji,si unajua mimi wa mkoani eehh!
Kupotea nje nje,,mfano nikitoka hapa niende k/koo ,,I'm sure sitaweza kurudi,nitapotea..
Mimi mbovu sana kwenye dira(hii hata kule kwetu mkoani huwa inanikuta).
Ila hapo kwenu nadhani ndiyo sehemu pekee ninayoijua hapa DSM.