Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

ANZISHENI GROUP LA WHATSAPP, MAANA INAKUWANGA NGUMU MTU UNASAFIRI UNAHAMU YA KUMCHEKI MSHIKAJI HATA MMOJA HUMU MPAKA UINGIE JAMAA FORUM UMUANDIKIE KWAMBA UPO MOROGORO MPAKA AJE KUIONA MESSAGE USHAONDOKA MOROGORO UPO ARUSHA.HAHAHAHHAA. KWAWALE AMBAO WANAONA HAWANA NOMA KUJULIKANA MM NAONA NI BOMBA KUWA NA GROUP HATA KUALIKANA KWENYE NYAMA CHOMA INAPENDEZA MAONI YANGU. ILA MM NITAKUWEPO LAKINI HAMTONIJUA HAHAHAHHAHAHHA.
 
Hii imepita mkuu, admin nani atupiwe namba 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…