Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

View attachment 1813531

Hivi ni vipande vya tire, ilichanika kama tishu [emoji3][emoji3][emoji3] na vingine hatujaviona na aina ya tire ni Bridgestone
Dah....
Ulicheki speed rating tairi mkuu?
4901477797f7e0b839544b8c56f00377.jpg
 
ANZISHENI GROUP LA WHATSAPP, MAANA INAKUWANGA NGUMU MTU UNASAFIRI UNAHAMU YA KUMCHEKI MSHIKAJI HATA MMOJA HUMU MPAKA UINGIE JAMAA FORUM UMUANDIKIE KWAMBA UPO MOROGORO MPAKA AJE KUIONA MESSAGE USHAONDOKA MOROGORO UPO ARUSHA.HAHAHAHHAA. KWAWALE AMBAO WANAONA HAWANA NOMA KUJULIKANA MM NAONA NI BOMBA KUWA NA GROUP HATA KUALIKANA KWENYE NYAMA CHOMA INAPENDEZA MAONI YANGU. ILA MM NITAKUWEPO LAKINI HAMTONIJUA HAHAHAHHAHAHHA.
 
Hii imepita mkuu, admin nani atupiwe namba 😀😀
 
Back
Top Bottom