🙄🙄🙄🙄wewe....
Liunde group , tujiunge.Leteni niwaundie 🤣🤣🤣
Dar to Dom ni kama 100,000. Dodoma to mwanza weka 150,000. Mafuta yatabaki bila shaka mengi tuWadau wa road trip,safari ya dar-mwanza inaweza tumia mafuta kiasi gan gari ni rav4 kili time
We unaweza? Kwanza haliundiki bila kuwa na participant hata 1Liunde group , tujiunge.
Patisipanti wa kwanza si admin au mie mgeni hukoWe unaweza? Kwanza haliundiki bila kuwa na participant hata 1
Hapo admin anakuwa hausikiPatisipanti wa kwanza si admin au mie mgeni huko
Basi tunakuja PM mkuu na namba zetu 🙂Hapo admin anakuwa hausiki
Duuuuh janaume la haja,
Lini hii
[emoji172][emoji172][emoji172]
Gari ya home naiona kwa mbali, [emoji4][emoji4]