Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Msala wake ulikuwaje mkuu
Alipigwa fine alipe dollar elfu 35 na kazi out alikua dereva wa boss wa Tanesco, v8 yenyewe show yote pale mbele ilikua nyang'anyang'a mkuu.chui alikua anakimbiza swala, swala akatangulia kuvuka ilipofika zam yake kakutana na v8 paah hakutikisika damu mpk maskioni na ulimi kang'ata
 
Sema sheria zingemkataa hata kujitetea, $ 35k parefu sana
 
Huo mkwara ndan ya mradi kwenyewe people zinajiachia mpk 100 kph kuna mwamba aligonga chui ndio akajua hajui[emoji847]
Sasas hivi kuna vumbi balaa yaaani lori likikupita inabidi usimame kabisa lastweek nimeenda nimekuta jamaa alikuwa nyuma ya lori anapigwa vumbi na hilux yake akajifanya kuovertake naile vumbi wala haoni mbele alikutana uso kwa uso na mzigo wa dangote alifia pale pale mamiyake
 
Udereva unaka nidhamu sana, ukiwa kichwa kibovu unajiua
 
Dodoma
20210709_124937.jpg
 
Back
Top Bottom