Tujaribu kwenye link hiiANZISHENI GROUP LA WHATSAPP, MAANA INAKUWANGA NGUMU MTU UNASAFIRI UNAHAMU YA KUMCHEKI MSHIKAJI HATA MMOJA HUMU MPAKA UINGIE JAMAA FORUM UMUANDIKIE KWAMBA UPO MOROGORO MPAKA AJE KUIONA MESSAGE USHAONDOKA MOROGORO UPO ARUSHA.HAHAHAHHAA. KWAWALE AMBAO WANAONA HAWANA NOMA KUJULIKANA MM NAONA NI BOMBA KUWA NA GROUP HATA KUALIKANA KWENYE NYAMA CHOMA INAPENDEZA MAONI YANGU. ILA MM NITAKUWEPO LAKINI HAMTONIJUA HAHAHAHHAHAHHA.
Ukijiunga una hiyari ya kuja na jina la JF ama jina tofauti.
Yoyote tu mkuu.. [emoji3][emoji3]
Offer ulipata?!!
Hajatokea huyu.. nimeka sanaa mitaa yangu hola [emoji3][emoji3] ndio narudi mahala pa kupumzika
RAHA YA KUSAFIRI NAKUONA WANYAMA HAO KWEUPEE. TANZANIA YETU NI TAMU
View attachment 1845651
View attachment 1845652
View attachment 1845653
View attachment 1845654
View attachment 1845655
View attachment 1845656
View attachment 1845657
View attachment 1845658
View attachment 1845659
View attachment 1845660
View attachment 1845667
View attachment 1845668
View attachment 1845669
View attachment 1845670
full tank dar mpaka dom then dom tia full tank mpaka mitaa ya nzega au shinyanga weka tu full kumalizia hizo kilometre 100 na ushee. yakibakia tumia ukifikaWadau wa road trip,safari ya dar-mwanza inaweza tumia mafuta kiasi gan gari ni rav4 kili time
Na nilivyoiona nikakukumbuka,nikaipiga picha .Gari ya home naiona kwa mbali, [emoji4][emoji4]
JuzikatiLini hii
OooohJuzikati
Yeaaah mwenye njia yake huyo kwa kutokea home kuja Dar.Na nilivyoiona nikakukumbuka,nikaipiga picha .
Hata kutoka kwenu kuja Mbeya pia amedominate njia.Yeaaah mwenye njia yake huyo kwa kutokea home kuja Dar.
Yaan huyu Mkinga ni mbabe kweli kweli, home kuja Mbeya yuko peke yake,Hata kutoka kwenu kuja Mbeya pia amedominate njia.
Huo mkwara ndan ya mradi kwenyewe people zinajiachia mpk 100 kph kuna mwamba aligonga chui ndio akajua hajui[emoji847]SPEED NI 30 KWA MASAA MAWILI. OLE WAKO UZIDISHE
Tyr mkuu[emoji120]
Msala wake ulikuwaje mkuuHuo mkwara ndan ya mradi kwenyewe people zinajiachia mpk 100 kph kuna mwamba aligonga chui ndio akajua hajui[emoji847]