Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Saa tisa usikuPole yao. Saa ngapi ilikuwa?
Hapo ukiacha ubena mbeleMaeneo gan mkuu?
Hii barabara uwa tamu jamaniYai ila tamu [emoji23][emoji23]
Naanza trip ya Babati muda si mrefu. Acha nisafiri na mwanga ni enjoy hii road
Kipande cha ule mlima mkali unaotizama bwawa la chumvi kimewekwa lami, unapokaribia kuingia Bashnet. Kwingine ni rough road iliyoshindiliwa.Dongobesh imewekwa lami jamani?
Last time nimefika 2010
Hiyo 7.4km/l ni instant fuel consumption au average? Kwa mwendo huo na engine hiyo ulitakiwa ule mafuta kidogo sana. Labda kama ni average ya safari, kwamba kuna sehemu umevuta zaidiView attachment 1850899
Mnyama crown athlete. Speed 120 but check rpm… mwendo ni kutumia cruise ctrl tu
Kweli ulizidiwa. Huna historia hii. Pole mkuu.Kwa mala ya kwanza toka nimeanza kupiga trip, nimezidiwa na usingizi + uchovu,hadi imebidi kupaki gari pembeni na kulala
Fatigue mbaya sana. Kulala ndio solution pekee.Kwa mala ya kwanza toka nimeanza kupiga trip, nimezidiwa na usingizi + uchovu,hadi imebidi kupaki gari pembeni na kulala
Kuna centre hizi wanazopaki malori au center zenye misosi 24/7. Humo hamnaga shida kabisa. Nishalala Mombo na Kibaigwa. Full mwanga full usalama.Kupaki barabarani na kulala nayo ni hatari ingine
Fatigue hiyo most probably. Wakiendelea hivi watalazimishwa kulala Morogoro tenaHapo ukiacha ubena mbele
Inabidi ujikaze utembee hata 50 mpaka ufikw kwenye center aisee. Pembezoni haifaiHizo sawa. Ila sio pembeni ya barabara.
Haya mazingira ukiamka asubuhi unajisikia raha sana.Vitunguu swaumu.... kwenye hili bonde ukitaka kupata network mpka upande juu ya mlima.
View attachment 1851363
View attachment 1851364View attachment 1851365View attachment 1851368
Nimejishangaa, haijawahi nitokea hii, zaidi ya mala nne nimetoa boko.. nikaona acha nipaki.. tuFatigue mbaya sana. Kulala ndio solution pekee.
Itakuwa dar es salaamTisa usiku bus linaenda wapi?
Mkuu nimetoa boko kama nne, nikaona isiwe kesi. Acha nilaleKupaki barabarani na kulala nayo ni hatari ingine
Uzee umekaribia mkuu, inabidi safari za usiku ustaafu sasa. Utuachie sisi vijana 😂Nimejishangaa, haijawahi nitokea hii, zaidi ya mala nne nimetoa boko.. nikaona acha nipaki.. tu
Leo safari imekuwa mbaya mbaya tu, maluwe luwe njiani, mala gari ina jaa ukungu ndani hadi sioni, mala watu bad bad bad kabisaaa ☹☹☹☹☹Uzee umekaribia mkuu, inabidi safari za usiku ustaafu sasa. Utuachie sisi vijana 😂