Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nimejishangaa, haijawahi nitokea hii, zaidi ya mala nne nimetoa boko.. nikaona acha nipaki.. tu
Mwenzio yalinikuta. Nimetoka mbali vizuri na alphad ile naianza kibaha nikawa nahisi usingizi ila nakazaa macho nasema nimesha fika hapa ntalala home. Kufika kibamba nikapiga mapipa yale ya ujenzi wa barabara kumbe nilisha sinziaaaa kitamboo. Mguu wa kushoto mbele na bumper vili ishia pale. Confortability ya gari huongeza raha ya kausingizi.
 
Pole sana, kwa yaliyotokeaga. Mie huwa na mbinu zangu ila leo zote zime fail kabisa 😀😀😀.. ikabidi nisalimu amri. Ila inshort safari imejaa chenga chenga ya leo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…