Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mwenzio yalinikuta. Nimetoka mbali vizuri na alphad ile naianza kibaha nikawa nahisi usingizi ila nakazaa macho nasema nimesha fika hapa ntalala home. Kufika kibamba nikapiga mapipa yale ya ujenzi wa barabara kumbe nilisha sinziaaaa kitamboo. Mguu wa kushoto mbele na bumper vili ishia pale. Confortability ya gari huongeza raha ya kausingizi.
Duh pole sana mkuu. Usingizi ukiku tight ni mbaya kupitiliza
 
Back
Top Bottom