Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Vipi kwa gari zinginr ndogo ambazo sio v8 zinaweza kutumia hiyo 4hrs dar - dom? Haswa usiku?
 
Hiyo uliyo nayo haiwezekana kuifanyia mod ikakupa more HP?
 
Hapana, mie sio muumini wa modification. Napenda kitu kilivyo kama bora ni bora na kama kinyonge ni kinyonge tu [emoji3][emoji3]
Kuna siku nilikua na gari ya knyongee kutokea moro kwenda dar katika kupambana kuyakata mabasi n maroli ghafla nyuma ikatokea crown kwangu ilikua ni gari Bora kulinganisha n niliyo kua naendesha. Ila nilishNgazwa na huyu mwenye crown nikitoa nae anatoa nikirudi nae anarudi mbele pakiwa peupe hanipiti. Yupo tu nyuma. Nilikuja kumuacha vigwaza niliyakata maroli matatu yeye aka nasa huko katikati ya maroli. Wakati mwingine gari inaweza ikawa Bora ila muongozaji wa gari mnyonge.
 
Kinyonge 😂😂😂😂
Eeh! Unakubaliana na hari tu, ila kuanza fukunyua gari kuweka madude mengine hapana, naamini sana katika Standard. Kiwandani wanaunda gari ina HP 100 inabidi uwe mpole, wamenagalia kuanzia safety etc .. mfano Majesta Ina HP kubwa ila ipo limit, ingawa unaweza chokonoa, ila body yake nahisi haijawa designed kuchochora 300.. ingawa unaweza fanya ukitaka.. maisha ni kuchaguaga tu.. mie muumini sana wa Standard
 
Ni kweli, kuna chombo na oparate wa chombo, hata mie kuna kipindi naziacha Staret na Vitz zinichakaze maana unakuta huna cha kupoteza
 
Uko vizuri mkuu. Natumia Nissan Fuga 350XV.

3.5L V6

Hao mabig bro nakula nao sahani moja mwanzo mpaka mwisho wa safari. Watanizidi kwa kufukia matuta tu. Au kama wakitembea zaidi ya 180 kwa muda mrefu, maana I am limited to 180kmph nikiwa 4000rpm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…