Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Speed kubwa kwako ni ngapi? Isije kuwa watu wanajitahidi kwenda taratibu lakini bado unalalamika spidi kubwa [emoji23][emoji23]
Hee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usije tu kuwa kama Holy man speed 180 anasema nitaenda speed ndogo 180tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Speed kubwa kwangu ni kuanzia 100.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angenipa hata ishara. Wakati mwingine kufuatwa nyuma nyuma sio vizuri sana inaketa hofu. Tena ma crown meusi alafu ukute ni usiku
Kuna siku kuna gari nimetoka nayo dodoma , ipo nyuma yangu hainipiti ilikuwa V8, nikaenda nao, kila nikikata mafuta wapo nyuma. Nikasema huu utoto nikapaki gari, nimekaa pale nakula mziki uzuri , badae natoka nawakuta mbele nao wamepaki 😀😀🙂.. nikasema isiwe kesi nikaenda walipo paki na mie nikapaki.
 
Basi utusamehe.... anything less than 140 kwetu hatuhesabu kama spidi
 
Kuna BMW M5 imekuwa tunned na Evolve.

Kitu kinaenda mpaka 1000 hp.

Hii gari niliona kwenye drag races za CarWow.

Nimeitamani mpaka basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…