Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Yah! Lazima mambo yawe mengi ili mkono uende mahala pake 🙂🙂Wadau wapo sema mambo mengi.
Labda ukiegeshe pale Dodoma inn ndo itakuwa karibu na chako ni chakoChombo ninacho operate hakiruhusiwi kupaki mjini, hapo hapo una king'amuzi
Hata ukipata breakdown tarura wanakufanya mradi
Kujua mitaa ya miji ni ngumu kidogo, ukiacha hiyo bambalaga iliyopo highway
Dodoma siifahamu,kivile
Ndo sehemu pekee utapata chakula kwa usiku woote ktk jiji la Dodoma sehemu nyingine huwa kunalalaNasikia pamechangamka masaa yote ya usiku 😧
Aah! Si ndio na wabunge wanaendaga kununua products zao hukoNdo sehemu pekee utapata chakula kwa usiku woote ktk jiji la Dodoma sehemu nyingine huwa kunalala
Ni kama unauliza chui na panya nani anawahi kuchanganya na ana balance akikimbia.ivi wadau kati ya crown athlete na ist new model ipi inawahi kuchanganya??
na ipi ina stability nzur barabarani?View attachment 1856081View attachment 1856082
View attachment 1856083
Swadakta!Ni kama unauliza chui na panya nani anawahi kuchanganya na ana balance akikimbia.
Ist new model ni shidaaa.. inachanganya haraka sana.. hutojutia mkuu na ulaji wake wa wese inanusa tu, balance imo ya kutosna kama RR culli ya dimond na hata ndani ipo sex sana.. chukua chombo.. crown hazina balance kidogo inaanza tetemaivi wadau kati ya crown athlete na ist new model ipi inawahi kuchanganya??
na ipi ina stability nzur barabarani?View attachment 1856081View attachment 1856082
View attachment 1856083
Mzee wa gari za chini.Miaka mitano, nitakuwa nachapa trip na hii chomboo wakuu zangu [emoji846][emoji846][emoji846] ndio mambo niyapendayo hayaaa..
View attachment 1856184View attachment 1856185View attachment 1856186View attachment 1856187View attachment 1856188View attachment 1856189View attachment 1856190
Ukweli kwenye matuta napata sana tabu.. ila barabara isiyo na matuta furaha yangu ndipo inapo lala.. na bora ukute tuta kubwa, vile vidogo alafu vikubwa lazima upige kona za upande upande .. 🙂🙂🙂🙂 hapo utashangaa ma honii piii piii kumbwe mwenzao unaepusha majanga ya kubuluza chiniMzee wa gari za chini.
Nakupatia picha unapanda matuta humo barabarani.
All the best.
Mungu atupe uhai na nguvu ya kutafuta pesa.
Mkuu hela zipo tu, muhimu focusMzee wa gari za chini.
Nakupatia picha unapanda matuta humo barabarani.
All the best.
Mungu atupe uhai na nguvu ya kutafuta pesa.
Kachoma nimenotice ila nimevunga
Unaendeleaje??
Sijakuona hapa siku 2 ,3 hizi.
Nafurahi kukuona tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka mitano, nitakuwa nachapa trip na hii chomboo wakuu zangu 🙂🙂🙂 ndio mambo niyapendayo hayaaa..
View attachment 1856184View attachment 1856185View attachment 1856186View attachment 1856187View attachment 1856188View attachment 1856189View attachment 1856190
Halafu Diamond nampendeaga hapo tu binafsi naonaga ana taste nzuri inapokuja kwenye suala la magari. Nimegundua jamaa anapenda sana SUV zilizopanda juu.Ist new model ni shidaaa.. inachanganya haraka sana.. hutojutia mkuu na ulaji wake wa wese inanusa tu, balance imo ya kutosna kama RR culli ya dimond na hata ndani ipo sex sana.. chukua chombo.. crown hazina balance kidogo inaanza tetema
Hivi na e tron tayari zimefika bongoMiaka mitano, nitakuwa nachapa trip na hii chomboo wakuu zangu [emoji846][emoji846][emoji846] ndio mambo niyapendayo hayaaa..
View attachment 1856184View attachment 1856185View attachment 1856186View attachment 1856187View attachment 1856188View attachment 1856189View attachment 1856190
[emoji4][emoji120][emoji120]Sijambo Saint.
Nipoo sema tuu dawati lilinikaba.
Shukria kunijulia hali.
Blessings.