kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Tuliokua tunajua magufuli anatupeleka wapi ndo tunaumia sasaKama haka alafu uwe chini ya 250 kutafuta nini [emoji846][emoji846][emoji846]
View attachment 1863633
Kufa kufaaana 😀😀😀😀..Huna cha kupoteza? OG Juliet atabaki na nani?
Kuondoka kwa Magufuli wote wazalendo inatuuma sana, hasa tuliokuwa tunafahamu ambacho na nia njema ya JPM.. ila kuonga magari mbona kawaida mkuu, ukishapewa vitu vizuri gari kitu gani.. au hujashikwa weweeeTuliokua tunajua magufuli anatupeleka wapi ndo tunaumia sasa
Mafisadi wamerudi nakuwarudishia mademuzao magari kama hivo yameongeza msongamano
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Sawa boss.Acha utoto
Tuzeni afya narudia maranyingi watanzania huficha maradhi
Unakiliwazi kwamba ulimwona Dada ako sijui mdogowako anakonda kumbe mgonjwa figo
Inamanisha wewe nafamilia yako mliaza kumwona mwezenu anakonda hizo external factor
Lakini yeye usikute miaka yote anaumwa ila anameza dawa zakuondoa infection mwilini
Shida yetu ikohivi mgonjwa husika akiwa tayari ana experience malanzi mwlini mwake hufanya sirisana ndg tunaaza kujua mfano anakonda alivokua ananenepa mlimsifia
Kumbe ananenepeana mwili unashida na yeye ndo anajua
Sasa msamaha wangu naufuta nakwamungu siombi
Tubadilike ,japokua mada haikuhusu magonjwa mbalimbali
Niligusia kwakusema MTU unalalamika kukaa sehemu moja lisaa limoja,nikatoa mfano huo
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Tunzeni afyaaa.. nini hamja elewa 😃😃😃Sawa boss.
Una Cha kuongeza kingine??
Tiririka[emoji23]
Tuliokua tunajua magufuli anatupeleka wapi ndo tunaumia sasa
Mafisadi wamerudi nakuwarudishia mademuzao magari kama hivo yameongeza msongamano
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
FOLENI nao niugonjwa bora mmeamua kuukabiliSawa boss.
Una Cha kuongeza kingine??
Tiririka[emoji23]
Jali afya
Hujui raha ya chumvi wewe.. chumvi inafanya mifupa kuwa imaraJali afya
Acha kunyonya chumvi yakule inaweza kukusababishia maradhi ya INI
Punguza kulasana mshikaki ukivuka umri 30 mavitu magumu wewe unatumia bala sawa kula hata matunda hutaki ukimaliza mishikaki mbuzi zako lete k-vant kubwa
Fanya mazoezi hutaki umeng'ang'ana nagari ASB hadi usiku kwa siku 365..
Ukiugua jirani mbayasana
Huyu jiran yangu mgogo huyo
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂Tunzeni afyaaa.. nini hamja elewa 😃😃😃
Ina calciumHujui raha ya chumvi wewe.. chumvi inafanya mifupa kuwa imara
Matunda naunga mkono hoja.. ridhiki yangu ipo kwenye steering ya gari mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji846]
Mt gani mkorofi ww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aongezee nyamanya somo liwe refu.
Dah
Acha utoto
Tuzeni afya narudia maranyingi watanzania huficha maradhi
Unakiliwazi kwamba ulimwona Dada ako sijui mdogowako anakonda kumbe mgonjwa figo
Inamanisha wewe nafamilia yako mliaza kumwona mwezenu anakonda hizo external factor
Lakini yeye usikute miaka yote anaumwa ila anameza dawa zakuondoa infection mwilini
Shida yetu ikohivi mgonjwa husika akiwa tayari ana experience malanzi mwlini mwake hufanya sirisana ndg tunaaza kujua mfano anakonda alivokua ananenepa mlimsifia
Kumbe ananenepeana mwili unashida na yeye ndo anajua
Sasa msamaha wangu naufuta nakwamungu siombi
Tubadilike ,japokua mada haikuhusu magonjwa mbalimbali
Niligusia kwakusema MTU unalalamika kukaa sehemu moja lisaa limoja,nikatoa mfano huo
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Huku kama msogaNchi yetu hii misafara ya viongozi ni changamoto sana. Hapa tumewekwa pembeni kupisha msafara wa Mheshimiwa mmoja, nusu saa ishapita sasa na hamna dalili.
View attachment 1863461
Hapo kabla sijawekwa kushoto.
Sawa nimekusikia wahi TibaKafungue mada yako huko
Hapa tuache tujadili road trips.
Otherwise una lako jambo.
Una semi ipi sasa ?
Atuache tule chumvi.. haya muhusu 😀🙂🙂Dah
Nikisema nichangie mada itabadilika hapa. Halafu siyo vizuri.
Una road trip lini boss? Few days to come nitakuwa kwenye ka trip flani vipi nikubebe?
Eeh!FOLENI nao niugonjwa bora mmeamua kuukabili
Ccm kuwasikia ndo kazi
Tiba ya ugonjwa nidawa
Dawa yakuondoa huu ugonjwa foleni simnaujua ?
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Chukulia kama ajali badala nikate kushoto nimekata kuliaEeh!
Endelea kutoa somo bwana MD.
Bado hatujakuelewa Dokta...
Changanya CCM,foleni na afya humohumo[emoji16]